KimataifaDonald Trump arejea ikuluBy Judith Ene Laizer - October 6, 20200270ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kutoka hospitali ya kijeshi ya Walter Reed ambapo alikuwa anapatiwa matibabu ya corona kwa siku tatu na kurejea Ikulu.Trump anatarajiwa kubaki Ikulu kwa muda na hatoruhusiwa kujichanganya na watu.