KimataifaDkt. Mpango amwakilisha Rais BurundiBy TBC - May 31, 20230376ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewasili jijini Bujumbura nchini Burundi leo ambapo anamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa 21 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).