Benzema Astaafu Soka la Kimataifa

0
188

Karim Benzema ametangaza kutundika daluga kuichezea timu ya Taifa ya Ufaransa.

Benzema amecheza michezo 97 na kuifungia Ufaransa magoli 37, na sasa rasmi amestaafu.