ANC na miaka 108 tangu kuanzishwa kwake

0
201
Miaka 108 ya African National Congress (ANC)

Chama tawala nchini Afrika Kusini (African National Congress) kimefanya shamra shamra za kuazimisha miaka 108 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1912.

Sherehe hizo zimeanza jana katika mkoa wa Northen Cape mjini Kimberley na kuendelea hadi hapo Jumapili na inakadiriwa kuwa Rand milioni hamsini sawa na shilingi bilioni nane za kitanzania zimetengwa kwa ajili ya sherehe hizo.