Mkuu wa Majeshi Kenya afariki kwenye ajali

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Kenya JeneraliFrancis Ogolla amefariki dunia kwenye ajali ya helikopta iliyotokea leo nchimi humo.Taarifa ya kifo cha Jenerali Ogolla...

Rais Samia awasili Uturuki

Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ankara Esenboga nchini Uturuki leo Aprili 17, 2024 kwa ajili ya ziara.Rais...