Libya wakubali kuunda serikali ya umoja wa kitaifa

Viongozi wa serikali mbili zinazohasimiana nchini Libya wamekubaliana kuunda serikali moja ya umoja wa kitaifa, jambo linaloashiria maendeleo katika kumaliza mkwamo wa kisiasa ambao...

Mawaziri wa SADC waipa pole Tanzania

Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) linaendelea na mkutano wake jijini Luanda, Angola ambapo katika siku ya kwanza ya...