USAID kuboresha matumizi ya Teknolojia

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi mpya wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID), Craig Hart ofisini kwake jijini Dodoma.Mazungumzo hayo yamelenga zaidi...

Mageuzi Katika Taasisi ni Lazima

0
Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu amesema mageuzi katika taasisi za Serikali hayakwepeki, hivyo taasisi hizo zifahamu kuwa mageuzi hayo ni ya lazima.Mchechu ameyasema hayo mkoani Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa taarifa ya...

Makamba : Kwenye masuala ya umeme hatutadanganya watu

0
Waziri wa Nishati January Makamba amesema katika masuala yanayohusu nishati ya umeme hawatatoa taarifa yoyote ya uongo kwa Wananchi hata wakipigwa mishake kwa taarifa za ukweli wapo tayari.Makamba amesema hayo mkoani Dar es Salaam...

Waziri Mkuu wa Cape Verde : Rushwa isiwe kikwazo Afrika

0
Waziri Mkuu wa Cape Verde Dkt. Olavo Avelino Garcia Correia amewataka Viongozi wa Afrika kuipiga vita rushwa katika nchini zao.Dkt. Correia amesema moja kati ya changamoto kubwa Afrika ni rushwa, ambayo imekuwa ikikwamisha...

TAMISEMI NA ZIMAMOTO RAHISI KUFANYA KAZI PAMOJA

0
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Eliezer Feleshi ameeleza namna ambavyo Jeshi la Wananchi linashika hatamu pale ambapo majeshi mengine yamekomea huku akifafanua namna ambavyo imeonekana ni vyema Jeshi la Zimamoto kuhushishwa na Ofisi Rais, Tawala...

Hifadhi ya Udzungwa yawanufaisha wakazi wa Mang’ula

0
Wakazi wanaoishi jirani na Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa katika wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameishukuru Serikali kwa kudhibiti wanyama wakali na waharibifu.Pia wameishukuru Seriikali kupitia wizara ya Maliasili na Utalii kwa...

Kamati ya ugawaji vitalu vya uwindaji yazinduliwa

0
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amezindua Kamati ya Ushauri ya Ugawaji wa Vitalu vya Uwindaji wa Kitalii nchini na kuitaka kurekebisha kasoro zilizojitokeza siku za nyuma na pia ugawaji ufanyike kwa uwazi.Akizungumza...

Picha : Kongamano la Mapambano dhidi ya rushwa Afrika

0
Viongozi wa Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...