Saturday, December 15, 2018

Latest article

Chaneli ya Utalii hadharani

Chaneli ya Utalii inayojulikana kama Tanzania Safari inazinduliwa rasmi hii leo jijini Dar es salaam na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Chaneli hiyo ya Utalii imeanzishwa...

Rais Magufuli azungumzia alama za taifa

Rais Dkt. John Magufuli ameagiza bendera, nembo na wimbo wa taifa kuendelea kutumika kama ilivyokuwa awali. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu...

Mapigano yasitishwa Hodeida

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, - Mike Pompeo amesifu usitishwaji wa mapigano katika mji wa bandari wa Hodeida uliopo nchini Yemen. Hatua hiyo...

Ghasia zasababisha vifo Somalia

Watu 11 wamethibitika kufa katika jimbo la Baidoa nchini Somalia kufuatia ghasia zilizozuka baada ya kukamatwa kwa Kamanda wa zamani wa Wanamgambo wa Al-Shabab,...