Singida Big Stars yapigwa bei

0
Uongozi wa klabu ya Singida Big Stars umefikia makubaliano ya kuiuza timu hiyo kwa wamiliki wa Fountain Gate.Mtendaji Mkuu wa Singida Big Stars John Kadutu amesema hayo mkoani Dar es Salaam katika mkutano wake...

Ronaldo kumlipa mpenzi wake mamilioni ya fedha

0
Mitandao ya michezo imeripoti kuwa Cristiano Ronaldo amesaini makubaliano ya kabla ya ndoa (pre-nup agreement) ambapo imeelezwa kama ikitokea wakaachana, nyota huyo wa soka kutoka Ureno atakuwa akimlipa mpenzi wake Georgina Rodriguez Pauni 100,000...

Vini Jr kuvaa jezi namba 7

0
Kiungo Mshambuliaji wa Real Madrid, Vinicius Junior atavaa jezi namba 7 kuanzia msimu ujao, ambayo awali imevaliwa na Eden Hazard na Cristiano Ronaldo.Kabla ya kubadili namba, Vini amevaa jezi namba 20 kwa miaka yake...

Farhan : Simba na Yanga zitashiriki Klabu Bingwa

0
Mchambuzi wa Soka nchini Farhan Kihamu ametolea ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoibuka kuwa endapo Azam atakuwa Bingwa wa Kombe la Shirikisho, Simba SC haitashiriki michuano ya Klabu Bingwa badala yake itashiriki michuano ya Shirikisho.Kupitia ukurasa...

Al Ahly mabingwa wa Afrika kwa mara ya 11

0
Timu ya Al Ahly SC ya Misri imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika licha ya sare ya 1-1 na wenyeji Wydad Athletic Club waliokuwa wanashikilia taji hilo.Wydad walitangulia na bao la beki...

Vifaa maalum kufungwa mipakani kuzuia dawa za kulevya

0
Serikali inatarajia kufunga vifaa maalum kwenye mipaka yote hapa nchini vitakavyoweza kufanya utambuzi wa upitishaji wa dawa za kulevya.Kauli hiyo imetolewa jijini Tanga na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya kuthibiti Dawa za kulevya nchini,...

Manchester City Mabingwa Ulaya 2022/2023

0
Manchester City imetwaa taji la kwanza la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Inter Milan ya Italia usiku wa jana uwanja wa Atatürk Olimpiyat jijini İstanbul nchini Uturuki.Pongezi...

Kila shule mwalimu mmoja wa Michezo

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameziagiza wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) pamoja na wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhakikisha kila...

Wasanii wakosa mikopo kwa kutokuwa na elimu ya uwekezaji

0
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema imetoa asilimia 11.6 tu ya mikopo yote iliyoombwa na wasanii mbalimbali kati ya Julai 2022 hadi Aprili 2023 kutokana na waombaji kutokuwa na elimu ya uwekezaji.Hayo yameelezwa...

Waziri Chana akutana na Katibu Mkuu wa CAF

0
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Veron Omba jijini Algiers nchini Algeria.Waziri Pindi amemshukuru kwa kupokea...