Mahrez atimkia Saudi Arabia
Winga wa Algeria na Manchester City, Riyad Mahrez amejiunga Al-Ahli ya Saudi Arabia kwa uhamisho wa shilingi bilioni 94.5.Nyota huyo ambaye bado alikuwa na mkataba wa miaka miwili ya City, anaongeza idadi ya majina...
Mgunda ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC
Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba SC, Juma Mgunda ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa ufundi ambaye atahusika na timu ya vijana chini ya miaka 17 na miaka 20, timu ya wanawake na timu ya wakubwa.Mgunda alijiunga...
Simba ya 9, Yanga ya 18 kwa ubora Afrika
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa orodha ya viwango vya ubora baada ya mashindano ya shirikisho hilo kwa msimu wa 2022/23 ambapo Simba SC imeshika nafasi ya tisa, huku Yanga SC ikiwa...
Al Hilal yaweka bilioni 816 mezani kumpata Mbappe
Al Hilal ya Saudi Arabia imetenga dau lililoweka rekodi ya dunia la TZS Bilioni 816.5 kwa ajili ya kunasa saini ya mshambuliaji wa Ufaransa na PSG, Kylian Mbappe (24).Nahodha huyo wa Ufaransa ambaye bado...
Yanga yaleta mshambuliaji mpya
Young Africans SC (Yanga) inatarajia kutambulisha mshambuliaji mpya iliyemsajili karibuni ikiwe ni mkakati wa kuendelea kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu mpya wa 2023/24.Akizungumza kupitia kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC, Makamu wa Rais wa...
Miquissone avunja mkataba na Al Ahly
Klabu ya Al Ahly ya Misri imevunja mkataba na kiungo wa kimataifa wa Msumbiji, Luís Jose Miquissone kwa makubaliano ya pande zote.Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya Miquissone kurejea kutoka Abha FC ya Saudi Arabia...
Samatta asajiliwa Paok ya Ugiriki
Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amejiunga na klabu ya Paok FC ya Ugiriki kutoka Fenerbahçe ya Uturuki baada ya misimu miwili ya kucheza kwa mkopo Ubelgiji.Julai mwaka 2021 Samatta alijiunga na miamba hao...
FIFA yaiondolea Kitayosce zuio la kusajili
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea klabu ya Kitayosce adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji.FIFA imechukua hatua hiyo baada ya klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC kulipa madai ya kocha Ahmed...
Tanzania yapangwa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia
Tanzania imepangwa Kundi E ktika kuwania tiketi ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia mwaka 2026.Katika kundi hilo, Tanzania imepangwa pamoja na Eritrea Niger, Congo, Zambia, na Morocco.Michezo ya kuwania hatua hiyo itachezwa kwa muda...
Naomi Osaka apata mtoto
Bingwa mara nne wa Grand Slam, Naomi Osaka amejifungua mtoto wa kwanza mjini Los Angeles, chama cha tenesi cha wanawake kimetangaza.Mjapan huyo mwenye umri wa miaka 25 alifichua ujauzito wake mwezi Januari na kusema...