Wachezaji wa kigeni Simba, Yanga na Singida hawajakidhi vigezo kushiriki Ngao ya Jamii

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema hadi sasa Azam FC ndio imewasilisha vibali vya wachezaji wa kigeni ambapo wataruhusiwa kucheza kwenye Ngao ya Jamii.Wakati Azam ikiwa imesajili wachezaji 10, TFF imesema kuwa...

Michelle Alozie, mtaalam wa biolojia aliyegeukia soka Nigeria

0
Michelle Chikwendu Alozie, mzaliwa wa Marekani mwenye asili ya Nigeria amekuwa gumzo kwa namna ambavyo ameendelea kuweka uzani (balance) kwenye ndoto yake ya kuwa mwanasoka na kufanyakazi yake.Alozie ambaye anacheza kama mlinzi kwenye timu...

Mtanzania ang’ara Marekani dhidi ya Miami ya Messi

0
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya Dallas inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani, Bernard Kamungo ameendelea kuwa gumzo kutokana na uwezo wake ambapo usiku wa kuamkia leo aliifungia timu yake goli katika...

JKT Queens kuiwakilisha Tanzania nchini Uganda

0
JKT Queens inatarajia kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Baraza la Mashirikisho ya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) yatakofanyika nchini Uganda kuanzia Agosti 12 hadi 30 mwaka huu.JKT Queens inaendelea na maandalizi...

Kibegi cha Simba kimeitangaza Tanzania

0
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa ataendelea kununua magoli yatakayofungwa na vilabu vya Tanzania kwenye mashindano ya Afrika, ikiwa hamasa ili vifanye vizuri zaidi ya msimu uliopita.Ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza katika sherehe za...

Uchunguzi wabaini madudu sakata la mkimbiaji wa Somalia

0
Serikali ya Somali imemsimamisha kazi afisa michezo kwa upendeleo baada ya kumpelekea 'mwanamichezo' asiye na sifa kushiriki kwenye mashindano ya kimataifa.Nasra Abukar Ali alitumia takribani sekunde 22 kukimbia mita 100, ikiaminika kuwa ni muda...

Sadio Mane atua Saudia Arabia

0
Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane (31) amejiunga na klabu ya Al Nassr ya nchini Saudia Arabia kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea FC Buyern Munich ya Ujerumani.Mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool...

FIFA yaiondolea adhabu Fountain Gate FC

0
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), limeiondolea klabu ya Fountain Gate FC adhabu ya kusajili wachezaji. Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo inayoshiriki Championship kumlipa madai yake yote aliyekuwa...

Hatma ya golikipa wa Simba kujulikana leo

0
Afisa Habari Simba SC, Ahmed Ally amesema ripoti ya daktari itakayotolewa leo juu ya majeraha ya golikipa waliyemsajili karibuni kutoka Brazil, Jefferson Luis itaamua kama wataendelea naye au wataingia sokoni kutafuta golikipa mwingine.Ally amesema...