Mashujaa Wamerejea

0
Timu ya Taifa ya soka kwa wanaume (Taifa Stars), imewasili nchini leo alfajiri ikitokea Algeria ilipokwenda kucheza mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2023.Katika Kundi F, Tanzania...

Tuhuma zamtupa Antony nje ya kikosi cha Brazil

0
Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony amekanusha tuhuma zinazomkabili za kumshambulia aliyekuwa mpenzi wake, Gabriela Cavallin, baada ya habari mpya kuchapishwa na vyombo vya habari nchini Brazil."Ninaweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa tuhuma hizi ni...

Ni Simba vs Al Ahly African Football League

0
Simba SC itafungua pazia la African Football League kwa kucheza dhidi ya Al Ahly ya Misri.Michezo mingine TP Mazembe itakutana na Esperance Sportive De Tunis, Enyimba DC itacheza na Wydad AC huku Atletico Petroleos...

TFF: Waziri Dkt. Ndumbaro hajafungiwa

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesema kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro alishinda rufaa ya adhabu ya kufungiwa miaka saba iliyotolewa na uongozi wa TFF uliopita.Ufafanuzi wa TFF...

Mtanzania asajiliwa Shakhtar Donetsk inayoshiriki UEFA

0
Shakhtar Donetsk ya Ukraine imemsajili kwa mkopo kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Novatus Dismas akitokea Zulte Waregem ya nchini Ubelgiji.Novatus alitambulika kwenye soka la kulipwa akiwa Azam FC ambapo baadaye alisajiliwa Maccabi ya nchini...

JKT Queens yatwaa ubingwa wa CECAFA

0
Timu ya JKT Queens kutoka Tanzania imeshinda ubingwa Ligi ya Mabingwa ya CECAFA kwa Wanawake baada ya kuifunga CBE Women ya Ethiopia kwa mikwaju ya penati.Miamba hiyo ilikwenda dakika 120 bila kufungana na hivyo...

Tanzania yaifuata Algeria na matumaini ya kufuzu AFCON

0
Timu ya Taifa ya mpira wa miguu kwa wanaume, Taifa Stars, imeondoka nchini leo kuelekea Tunis, Tunisia kwa Kambi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Algeria.Mchezo huo utakaochezwa...

Pluijm ajiuzulu ukocha Singida BS

0
Kocha Mkuu wa Singida BS, Hans Van der Pluijm amejiuzulu nafasi hiyo baada ya kuitumikia tangu mwaka 2022.Kufuatia uamuzi huo walima alizeti hao wa Singida watakuwa chini ya Kocha Msaidizi, Mathias Lule mpaka pale...

Uwanja wa Amaan kukamilika Desemba

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amesema maendeleo ya ukarabati wa uwanja wa Amaan umefikia hatua nzuri ya kuridhisha na utakamilika kwa wakati (Disemba mwaka huu).Rais Dkt.Mwinyi ameyasema...

Mason Greenwood kuondoka Manchester United

0
Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na mshambuliaji Mason Greenwood, baada ya uchunguzi wa ndani wa miezi sita kuhusu tabia yake.Greenwood alikamatwa Januari 2022 kwa tuhuma zilizohusiana na habari...