Tanzania yapanda viwango vya FIFA
Tanzania imepanda kwa nafasi mbili katika viwango vya ubora vya Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kwa wanaume, kutoka nafasi ya 121 iliyokuwepo Desemba 2023 hadi nafasi ya 119 Februari 2024.Kwa Afrika, Tanzania inashika...
Robo fainali ni kawaida kwa Simba
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa kufuzu hatua ya robo fainali kwa timu hiyo ni jambo la kawaida, na sio sherehe kama zinavyofanya timu nyingineAmesema Simba imejipanga kushinda mechi yao dhidi...
Yanga mmeipa furaha nchi
Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Katika ukurasa wake wa Instagrama Rais Samia ameandika”Naipongeza Klabu ya Yanga...
Ali Kamwe yupo salama
Ukurasa rasmi wa klabu ya Yanga umechapisha picha zinazomuonesha afisa habari wa klabu hiyo Ali Kamwe pamoja na viongozi na baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa hospitalini.Kupitia ukurasa huo klabu ya Yanga imeeleza kuwa...
Hii ni AFCON bora zaidi kwa Tanzania
Ilikuwa huzuni kwa Watanzania baada ya timu ya Taifa ya soka (Taifa Stars) kutolewa katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) inayoendelea nchini Ivory Coast kwani waliona kuna uwezekano wa timu yao kufuzu endapo...
AFCON imenisaidia kupata timu
Mshambuliaji wa Taifa Stars, Simon Msuva amesema mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2023 yamemsaidia kupata timu mpya baada ya kuachana na timu aliyokuwa akiitumikia kabla ya mashindano hayo. “Nimetoka kwenye matatizo na...
Nani kuwa bingwa wa AFCON 2023
Zilikuwa siku 12 za moto katika soka la Afrika ambapo mataifa 24 yalishuka dimbani mara 36, kila moja likicheza mechi tatu, kutafuta nafasi ya kuwania kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Mataifa...
MASHABIKI WA ARSENAL KUIONGEZEA WEST HAM HELA
Mashabiki wa Arsenal wameanzisha kampeni inayolenga kukusanya Pauni milioni 25 (TZS bilioni 78) kwa ajili ya kuiongezea Wes Ham United, kwa madai kuwa fedha ambayo Arsenal ililipa, Pauni milioni 105 (TZS bilioni 330) kumsajili...
CHASAMBI NI MALI YA MSIMBAZI
Taarifa njema kwa mashabiki wa Simba SC ni kusainiwa kwa winga Ladaki Chasambi kwa mkataba wa miaka miwili.Simba imewapiku wapinzani wao Yanga SC ambao imeripotiwa kuwa nao walikuwa wanamwinda winga huyo anayekipiga katika klabu...
HAALAND AKERWA NA MWAMUZI
Mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland amemkosoa vikali Simon Hooper kupitia mitandao ya kijamii kufuatia uamuzi wake wakati wa mchezo dhidi ya Tottenham uliomalizika kwa sare ya 3-3.Haaland alikerwa na uamuzi wa mwamuzi kupuliza...