Mchezo wa Yanga na KMC, TPLB yatoa ufafanuzi

0
Bodi ya Ligi (TPLB) imesema kuwa hakuna mabadiliko ya uwanja utakaotumika kwenye mchezo kati ya Yanga dhidi ya KMC zote za jijini Dar es salaam, mchezo utakaochezwa Jumapili Machi 10 mwaka huu.Mtendaji Mkuu wa Bodi ya...

Messi asema fainali ya Kombe la Dunia ni mchezo wake wa mwisho

0
Nahodha wa Argentinal Lionel Messi amesema mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia 2022 ni mchezo wake wa mwisho wa Kombe la Dunia akiichezea Argentina.Messi ambaye ameiwezesha Argetina kufuzu fainali baada ya kuifunga...

Yanga yapeta mbele ya Ken Gold

0
Yanga imesonga mbele na kuingia raundi ya 5 katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)Yanga imesonga mbele baada ya kupata ushindi wa bao 1 kwa bila dhidi ya timu ya Ken Gold...

Lewandowski nje Barca vs Real Madrid

0
Robert Lewandowski ataikosa mechi ya El Clasico kutokana na majeraha nyuma ya paja aliyoyapata katika mchezo wa mwisho wa wiki dhidi ya Almeria.HALI IKOJE? Barcelona imethibisha kwamba mshambuliaji huyo ni majeruhi na kwamba hakuna...

Vifaa maalum kufungwa mipakani kuzuia dawa za kulevya

0
Serikali inatarajia kufunga vifaa maalum kwenye mipaka yote hapa nchini vitakavyoweza kufanya utambuzi wa upitishaji wa dawa za kulevya.Kauli hiyo imetolewa jijini Tanga na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya kuthibiti Dawa za kulevya nchini,...

Hatma ya golikipa wa Simba kujulikana leo

0
Afisa Habari Simba SC, Ahmed Ally amesema ripoti ya daktari itakayotolewa leo juu ya majeraha ya golikipa waliyemsajili karibuni kutoka Brazil, Jefferson Luis itaamua kama wataendelea naye au wataingia sokoni kutafuta golikipa mwingine.Ally amesema...

Yanga yakiri Rivers United ni timu ngumu

0
Yanga SC inatarajia kuondoka nchini kesho alfajiri kuelekea Nigeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers United.Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema msafara...

Simba, Yanga hakuna mbabe TOT Bonanza

0
Ile mbiu ya shangwe za mashabiki wa Simba na Yanga katika mtandao wa Twitter imekosa mpulizaji baada ya timu hizo kulazimishana sare ya goli 1-1.Mchezo huo uliojawa na mbwembwe, kejeli na burudani za kila...

Zidane akataa kurejea Real Madrid

0
Rais wa zamani wa timu ya Real Madrid ya nchini Hispania, -Ramon Calderon amesema kuwa kocha wa zamani wa timu hiyo Zinedine Zidane amekataa ofa ya kurejea tena kwenye timu hiyo ili kuioko kutoka kwenye hali ngumu...

Ronaldo kuvaa tena namba 7 Man U

0
Mchezaji Edinson Cavani ameachia uzi wake wa namba saba na kumpatia Christiano Ronaldo, aliyesainiwa kwa mara nyingine tena na klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza.Ronaldo anayetamba kwa kuwa moja kati ya...