Shindano la Miss World 2021 laahirishwa

0
Shindano la Miss World 2021 limeahirishwa kwa muda wa siku 90, ambapo fainali ya kupata mshindi ilitarajiwa kufanyika leo 16 Desemba 2021 huko Puerto Rico.Waandaji wa shindano hilo wametoa tamko la sababu ya...

Mamia wamuaga Hans Poppe

0
Mwili wa aliyekuwa mjumbe ya Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, na Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya timu hiyo Zacharia Hans Poppe, umeagwa hii leo katika viwanja vya Karimjee jijini...

Samatta aendelea kufanya vizuri Genk

0
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta amefunga mabao matatu - Hat Trick katika mchezo ambao timu yake ya KRC Genk imeibuka na ushindi wa mabao matano kwa mawili dhidi ya...

Mourinho ataka vyombo vya habari kumuheshimu

0
Meneja wa Manchester United, - Jose Mourinho amevitaka vyombo vya habari vya England kumpa heshima kutokana na mafanikio yake kwenye soka la nchi hiyo.Mourinho ameyasema hayo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari...

Taifa Stars yaichapa Madagascar 3-2

0
Timu ya Taifa (Taifa Stars) imeibuka kededea katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la Dunia dhidi ya timu ya Madagascar Katika mchezo uliochezwa uwanja wa Mkapa mkoani Dar es Salaam.Mchezo ulioanza majira...

Waziri Bashungwa aipongeza Stars

0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewapongeza wachezaji wa Taifa Stars na Watanzania wote kwa ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Timu ya Madagascar kwenye mchezo uliochezwa leo Septemba 07, 2021...

Mazoezi ya UMITASHUMTA na UMISSETA

0
Washiriki wa Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) na Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar, wakifanya...

Salah aingia kwenye mgogoro na EFA

0
Nyota wa timu ya Misri na klabu ya Liverpool, -Mohamed Salah ameingia kwenye mgogoro na chama soka nchini Misri (EFA) baada ya chama hicho kupuuza malalamiko yake yanayohusu kukiukwa kwa haki za matangazo.Nyota huyo...

Taifa Stars yaahidi kuinyuka Madagascar

0
Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kim Paulsen amesema kikosi Cha timu hiyo kipo imara tayari kuikabili timu ya Taifa ya Madagascar kwenye mchezo wa kuelekea kufuzu fainali za kombe la...

Kamati ya muda kuiongoza Ndanda FC

0
Mkuu wa mkoa wa Mtwara, -Gelasius Byakanwa ametangaza kuuweka pembeni uongozi wa timu ya mpira wa miguu ya Ndanda FC ya mkoani humo.Kufuatia hatua hiyo Byakanwa ambaye pia ni mlezi wa timu hiyo ameunda...