CHASAMBI NI MALI YA MSIMBAZI

0
Taarifa njema kwa mashabiki wa Simba SC ni kusainiwa kwa winga Ladaki Chasambi kwa mkataba wa miaka miwili.Simba imewapiku wapinzani wao Yanga SC ambao imeripotiwa kuwa nao walikuwa wanamwinda winga huyo anayekipiga katika klabu...

HAALAND AKERWA NA MWAMUZI

0
Mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland amemkosoa vikali Simon Hooper kupitia mitandao ya kijamii kufuatia uamuzi wake wakati wa mchezo dhidi ya Tottenham uliomalizika kwa sare ya 3-3.Haaland alikerwa na uamuzi wa mwamuzi kupuliza...

Mashujaa Wamerejea

0
Timu ya Taifa ya soka kwa wanaume (Taifa Stars), imewasili nchini leo alfajiri ikitokea Algeria ilipokwenda kucheza mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2023.Katika Kundi F, Tanzania...

Tuhuma zamtupa Antony nje ya kikosi cha Brazil

0
Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony amekanusha tuhuma zinazomkabili za kumshambulia aliyekuwa mpenzi wake, Gabriela Cavallin, baada ya habari mpya kuchapishwa na vyombo vya habari nchini Brazil."Ninaweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa tuhuma hizi ni...

Ni Simba vs Al Ahly African Football League

0
Simba SC itafungua pazia la African Football League kwa kucheza dhidi ya Al Ahly ya Misri.Michezo mingine TP Mazembe itakutana na Esperance Sportive De Tunis, Enyimba DC itacheza na Wydad AC huku Atletico Petroleos...

TFF: Waziri Dkt. Ndumbaro hajafungiwa

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesema kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro alishinda rufaa ya adhabu ya kufungiwa miaka saba iliyotolewa na uongozi wa TFF uliopita.Ufafanuzi wa TFF...

Mtanzania asajiliwa Shakhtar Donetsk inayoshiriki UEFA

0
Shakhtar Donetsk ya Ukraine imemsajili kwa mkopo kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Novatus Dismas akitokea Zulte Waregem ya nchini Ubelgiji.Novatus alitambulika kwenye soka la kulipwa akiwa Azam FC ambapo baadaye alisajiliwa Maccabi ya nchini...

JKT Queens yatwaa ubingwa wa CECAFA

0
Timu ya JKT Queens kutoka Tanzania imeshinda ubingwa Ligi ya Mabingwa ya CECAFA kwa Wanawake baada ya kuifunga CBE Women ya Ethiopia kwa mikwaju ya penati.Miamba hiyo ilikwenda dakika 120 bila kufungana na hivyo...

Tanzania yaifuata Algeria na matumaini ya kufuzu AFCON

0
Timu ya Taifa ya mpira wa miguu kwa wanaume, Taifa Stars, imeondoka nchini leo kuelekea Tunis, Tunisia kwa Kambi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Algeria.Mchezo huo utakaochezwa...

Pluijm ajiuzulu ukocha Singida BS

0
Kocha Mkuu wa Singida BS, Hans Van der Pluijm amejiuzulu nafasi hiyo baada ya kuitumikia tangu mwaka 2022.Kufuatia uamuzi huo walima alizeti hao wa Singida watakuwa chini ya Kocha Msaidizi, Mathias Lule mpaka pale...