AL Ahly tunamwondoa – Ahmed Ally
Msemaji wa Timu ya Simba, Ahmed Ally, amewahimiza wanachama na wapenzi wa timu hiyo kuhakikisha wananunua tiketi zao mapema ili Machi 29, 2024 wajitokeze kwa wingi kwa Mkapa kushangalia timu yao ambayo amesema ina...
Griezmann nje kikosi cha Ufaransa
Rekodi ya Mshambuliaji wa Ufaransa, Antoine Griezmann ya kucheza michezo ya timu ya taifa mfululizo tangu Novemba 2016 imefikia ukingoni baada ya kuondolewa kwenye kikosi hicho kitakachocheza mechi za kirafiki dhidi ya Ujerumani na...
Pacome aitwa Timu ya Taifa ya Ivory Coast
Mchezaji wa timu ya Yanga, Pacome Zouzoua ameitwa kwa mara nyingine kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Ivory Coast, kuchukua nafasi ya Ibrahim Sangare anayechezea Nottingham Forest ya UingerezaPacome ameitwa huku akiwa amepata...
Ihefu kuendeleza ubabe dhidi ya Yanga?
Ihefu SC imekuwa mwiba kwa Yanga SC kwa msimu miwili ambapo msimu uliopita walitibua rekodi ya Yanga ya kutopoteza michezo 49 baada ya kuifunga 2-1 katika Uwanja wa Highland Estate, Mbeya, ambapo Yanga ilihitaji...
Dube awaaga Azam, afuta picha zote
Mwanamfalme, Prince Dube ametangaza rasmi kuondoka Azam FC akieleza kuwa miaka minne aliyowatumikia matajiri wa Dar es Salaam imebeba historia kubwa kwenye maisha yake ya soka."Nikielekea kuanza ukurasa mpya, ninaondoka nikiwa na mafunzo niliyoyapata...
Droo ya mashindano makubwa Afrika Machi 12
Droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2023/2024 na Kombe la Shirikisho Afrika itafanyika Machi 12, 2024.Droo hiyo itafanyika Cairo, Misri ambapo droo ya Kombe la Shirikisho Afrika itaanza kuchezeshwa saa nane...
Mashabiki wa Arsenal leo mnaamka saa ngapi?
Arsenal imeendelea kuonesha kuwa inalitaka taji la Ligi Kuu ya England msimu huu ambapo imeendelea kutoa kipigo kwa kila timu inayokutana nayo, tena kwa idadi kubwa ya magoli.Katika mchezo wake wa mwisho iliyocheza dhidi...
Je, Prince Dube anakwenda Simba au Yanga?
Baada ya mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube kuandika barua akitaka kuvunja mkataba na matajiri hao wa Dar es Salaam, tetesi za wapi atakapokwenda zimekuwa nyingi.Baadhi ya mashabiki na wanazi wa soka kupitia mitandao...
Viwango vya ubora vya FIFA kwa timu za wanaume
Michuani ya AFCON iliyomalizika mapema mwezi huu imekuwa na mchango mkubwa kwa baadhi ya timu kupanda katika viwango vya FIFA kutokana na ubora wa timu hizo kwenye mashindano hayo.Nigeria ambayo ilifika hatua ya fainali...
Yanga: Tunaitaka fainali ya Ligi ya Mabingwa
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe amesema lengo lao baada ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ni kufika hatua ya fainali ya mashindano hayo.Kamwe amesema hayo leo...