Viwango vya ubora vya FIFA kwa timu za wanaume

0
Michuani ya AFCON iliyomalizika mapema mwezi huu imekuwa na mchango mkubwa kwa baadhi ya timu kupanda katika viwango vya FIFA kutokana na ubora wa timu hizo kwenye mashindano hayo.Nigeria ambayo ilifika hatua ya fainali...

Yanga Vs Simba Oktoba 23

0
Bodi ya ligi imetangaza ratiba ya msimu mpya wa michuano ya Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara, ambapo michezo 240 inatarajiwa kupigwa katika msimu wa ligi wa mwaka 2022/2023.Akitangaza ratiba hiyo Afisa Mtendaji...

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa

0
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeitandika Guinea ya Ikweta mabao mawili kwa moja katika mchezo wa kwanza kufuzu kwa michuano ya Mataifa ya Afrika AFCONMabao ya Taifa Stars yamefungwa na Simon Msuva...

Vettel akiri adui yake ni yeye mwenyewe

0
Dereva wa kampuni ya Ferari,- Sebastian Vettel amesema kuwa adui yake mkubwa katika kinyang’anyiro cha kuwania taji la mbio za langalanga msimu huu baina yake na dereva wa Marcedes, - Lewis Hamilton ni yeye...

TFF: Fei Toto bado ni mchezaji wa Yanga

0
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imeamua kuwa Feisal Salum bado ni mchezaji wa Yanga kwa mujibu wa mkataba.Uamuzi huo umetolewa baada ya Yanga kuwasilisha malalamiko...

Arteta: Jesus ameanza mazoezi mepesi

0
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amethibitisha kuwa Gabriel Jesus ameanza mazoezi ya nje akisubiriwa kwa hamu kurejea kikosini baada ya kukaa nje kwa takribani miezi mitatu.NINI KILITOKEA? Mshambuliaji huyo raia wa Brazil aliumia goti...

TFF yamjibu Haji Manara

0
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfread amesema amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa Klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF,...

Timu ya watu wenye ulemavu yakaribishwa nchini Japan

0
Timu ya watu wenye ulemavu kutoka Tanzania ikikaribishwa Tokyo nchini Japan inapofanyika michezo ya Olimpiki ya Walemavu (Tokyo 2020 Paralympic Games).Kiongozi wa timu hiyo ni Tuma Dandi ambaye ni mtumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na...

Messi kuondoka PSG mwisho wa msimu

0
Klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa itaachana na utatu wa Mbappé, Messi na Neymar msimu ujao, tovuti ya RMC Sport imeripoti.Kwa mujibu wa chanzo hicho, mmoja kati ya miamba hiyo ya soka ataondoka,...

Mashujaa Wamerejea

0
Timu ya Taifa ya soka kwa wanaume (Taifa Stars), imewasili nchini leo alfajiri ikitokea Algeria ilipokwenda kucheza mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2023.Katika Kundi F, Tanzania...