Twaha Kiduku Bingwa UBO Afrika

0
Pambano la kuwania Ubingwa wa UBO Afrika limemalizika ambapo Twaha Khasim (Twaha Kiduku) amefanikiwa kumtandika mpinzani wake Alex Kabangu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) katika pambano la uzito wa Super Middle lililofanyika mkoani...

Yanga na ZANACO kukutana dimba la Mkapa

0
Timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam maarufu timu ya Wananchi, tarehe 29 mwezi huu itaialika timu ya ZANACO FC kutoka Zambia katika mchezo wa kirafiki kwenye dimba la Mkapa mkoani Dar...

Simba yawasha moto Tabora

0
Klabu ya Simba imeipa Klabu ya soka ya KMC kipogo cha mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi kuu ya NBC ambayo ipo katika mzunguko wake wa 10.Mchezo huo wa ligi kuu ya NBC...

Watu Mashuhuri ambao wamefariki lakini kurasa zao za Instagram zipo hai

0
Michael JacksonMfalme wa Pop aliyekuwa maarufu kwa nyimbo zake za "Thriller" na "Billie Jean," na hajaacha kutusisimua na sauti yake kwenye nyimbo zake hadi leoIngawa Michael Jackson aliaga dunia mwaka wa 2009, Ukurasa...

Venus na Serena Williams kukutana US OPEN

0
Ikiwa ni miaka Ishirini imepita tangu walipokutana kwa mara ya kwanza katika mchezo wa kuwania taji kubwa la tenisi duniani (Grandslum), wanadada ndugu Venus na Serena Williams watakutana katika hatua ya 16 bora ya...

Tanzania kutoshiriki Miss World 2021

0
Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la urembo la dunia (Miss World)  kwa mwaka huu Juliana Rugumisa,  hatoweza kushiriki shindano hilo lililopangwa kufanyika tarehe 16 mwezi huu nchini Puerto Rico kutokana na kukosa Visa.Waandaaji wa...

Wachezaji wa Real Madrid wazoa tuzo

0
Timu ya Real Madrid ya nchini Hispania ambayo ni mabingwa mara tatu mfululizo wa taji la ligi ya mabingwa Barani Ulaya baada ya kuinyuka Liverpool mabao Matatu kwa Moja katika fainali ya...

Miss Tanzania ashangazwa na uchimbaji wa Madini

0
Mlimbwende wa Tanzania mwaka 2021 Rose Manfere ameelezwa kushangazwa na namna shughuli za uchimbaji wa madini zinazofanywa huku akisifu shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa namna linavyosimamia rasilimali hizo.Mrembo huyo ambaye ametembelea Banda la wizara ya...

Mamelodi wamwinda Aziz Ki, mwenyewe afunguka

0
Miamba ya soka ya Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns wanahusishwa kuiwinda saini ya kiungo wa Yanga SC na raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki.Masandawana wanaonekana kuvutiwa na kiwango cha Ki, hasa katika michezo ya...