Aveva, Kaburu waachiwa kwa Dhamana

0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia kwa dhamana aliyekuwa Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva na makamu wake Godfrey Nyange maarufu 'Kaburu'. Baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kutupilia mbali mapingamizi ya...

TFF yapitisha rungu kwa wachezaji wa Simba na Yanga

0
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewafungia wachezaji wawili wanaocheza Ligi Kuu Tanzania Bara kwa utovu wa nidhamu.Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Makao Makuu ya TFF,...

Mkutano wa CAF wafunguliwa rasmi

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua mkutano mkuu wa 44 wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) unaofanyika jijini Arusha.Mkutano huo umehudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Rais wa Shirikisho la Soka...

Barafu yaikosesha ushindi Liverpool

0
Kocha wa timu ya Liverpool ya nchini England, -Jurgen Klopp amesema kuwa kudondoka kwa barafu kwenye uwanja wa Anfield kulisababisha timu yake kukosa ushindi kwenye mchezo wake dhidi ya Leicester City.Kocha huyo Mjerumani amesema kuwa mchezo  huo...

Arteta: Jesus ameanza mazoezi mepesi

0
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amethibitisha kuwa Gabriel Jesus ameanza mazoezi ya nje akisubiriwa kwa hamu kurejea kikosini baada ya kukaa nje kwa takribani miezi mitatu.NINI KILITOKEA? Mshambuliaji huyo raia wa Brazil aliumia goti...

Messi aomba kuondoka Barcelona

0
Mshambuliaji wa Klabu ya Barcelona ya nchini Hispania, Lionel Messi, ameiambia klabu hiyo kuwa anataka kuondoka kutafuta maisha mengine, huku Manchester City ikiwa ni timu pekee inayoonesha shauku ya kutaka kumsajili.Kwa mujibu wa...

Sakata la upotevu wa bilioni 1 za Rais Magufuli lachukua sura mpya TFF

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa halikupokea na wala halihusiki na matumizi ya fedha TZS bilioni 1 iliyotolewa na Rais John Magufuli kufanikisha fainali za AFCON kwa vijana chini ya...

Shindano la Miss World 2021 laahirishwa

0
Shindano la Miss World 2021 limeahirishwa kwa muda wa siku 90, ambapo fainali ya kupata mshindi ilitarajiwa kufanyika leo 16 Desemba 2021 huko Puerto Rico.Waandaji wa shindano hilo wametoa tamko la sababu ya...

Watu Mashuhuri ambao wamefariki lakini kurasa zao za Instagram zipo hai

0
Michael JacksonMfalme wa Pop aliyekuwa maarufu kwa nyimbo zake za "Thriller" na "Billie Jean," na hajaacha kutusisimua na sauti yake kwenye nyimbo zake hadi leoIngawa Michael Jackson aliaga dunia mwaka wa 2009, Ukurasa...

Mabaki ya ndege iliyombeba Emiliano yaonekana

0
Mabaki ya ndege iliyopotea ambayo ilimbeba mchezaji wa timu ya Cardiff City, -Emiliano Sala yameonekana kwenye Pwani ya Uingereza.Ndege hiyo iliyokuwa ikitoka nchini Ufaransa kwenda nchini Uingereza ilipotea Januari 21 mwaka huu  ikiwa na watu wawili ndani, ambao ni...