Wamiliki wa Seattle Sounder kuinua michezo Tanzania
Kampuni ya kimataifa ya Vulcan Inc. kupitia kampuni yake tanzu ya Vulcan Arts and Intertainment imeeleza utayari wake wa kusaidiana na serikali ya Tanzania katika kuinua sanaa na michezo.Hayo yameelezwa na mkurugenzi mwandamizi...