Majaliwa ashiriki mbio za Tulia Marathon
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2024 ameshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024 zilizoandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Tulia Trust. Mbio hizo zimeanzia na kuishia kwenye uwanja...
Tunataka kushiriki Kombe la Dunia
"Kwa sasa hakuna klabu Tanzania inayoweza kuisogelea Young Africans SC kwenye ubora. Ndiyo maana timu nyingi zikicheza na sisi zinakuja na mfumo wa kuzuia zaidi ikimaanisha wanaiheshimu klabu yetu. Malengo yangu makubwa ni kuhakikisha...
Wachezaji wakubwa wanataka kujiunga Yanga
"Kuna wachezaji kadhaa kutoka Klabu kubwa wanataka kujiunga na klabu yetu . Ni kwa sababu wanaona uimara wa uongozi, wadhamini na uwepo wa GSM. Pia mashabiki wetu ni sehemu ya usajili, huwezi kuwakwepa mashabiki,...
Azam yamwekea Mzize milioni 400 mezani
Azam FC imewasilisha dau la shilingi milioni 400 kwa Yanga SC ikikusudia kupata saini ya mshambuliaji Clement Mzize.Azam ambayo kwa sasa haina mshambuliaji baada ya kutofautiana na raia wa Zimbabwe, Prince Dube, inatarajia kumsajili...
Wadaiwa kumwacha Mchina ashinde
Uchunguzi unafanyika juu ya mashindano ya Beijing (Beijinga half marathon) kufuatia uwepo wa viashiria kuwa wakimbiaji watatu kutoka Afrika walipunguza mwendo kwa makusudi ili kuhakikisha mkimbiaji wa China, He Jie anakuwa mshindi.Jie alimaliza mbio...
Mo akutana na uongozi Simba
"Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto ziko wapi na namna ya kuzitatua, kikao kimeenda vizuri. Wanasimba tusife moyo tuendelee kushirikiana." ameandika Mohamed Dewji kwenye ukurasa wake wa InstagramJe, Wewe unaona changamoto...
Beno Kakolanya atoroka kambini
Golikipa namba moja katika kikosi Singida Fountain Gate FC Beno Kakolanya ametoroka kambini wakati timu yake ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi Yanga SC utakaopigwa leo majira saa 10 jioni jijini Mwanza.Taarifa iliyotolewa...
Teknolojia ya kutambua offside kutumika EPL
Rasmi vilabu vya Ligi Kuu ya nchini Uingereza vimekubali kuanza kutumia teknolojia mpya ya kutambua offside (Semi- Automated Offside Technology).Mfumo huu mpya utaanza kutumika kwa mara ya kwanza katika ligi kuu hiyo msimu ujao.Je,...
Singida FG yahofia kipigo kutoka kwa Yanga
Msemaji wa Singida Fountain Gate, Mussa Masanza amesema anahofia timu yake kupokea kipigo kutoka kwa Yanga kutokana na uwezo wa timu hiyo kwa sasa."Hakuna mtu anayetamani kukutana na Yanga… Tunasikitika kumkosa Thomas Ulimwengu, ila...
Mkataba wa kwanza na Yanga ulikuwa mbovu
“Mkataba wangu wa kwanza Yanga haukuwa mzuri nilikuwa hata siwezi kuondoka. Nilikuwa sijui Kiingereza, meneja wangu naye hajui Kiingereza anacheka cheka tu na viongozi, mkataba ulikuwa mgumu, mimi nimesaini tu nicheze nionekane," amesema Fiston...