Adesanya alipiza kisasi kwa Pereira

0
Israel Adesanya amemshinda hasimu wake Alex Pereira kwa 'knockout' katika mzunguko wa pili na kurejesha ubingwa wa uzito wa kati (middleweight) katika pambano la UFC 287 lililofanyika Miami nchini Marekani.Novemba 2022 Adesanya alipoteza ubingwa...

Ruvu Shooting Yazidi Kuzamishwa

0
Magoli matatu waliyofunga Tanzania Prisons dhidi ya Ruvu Shooting katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya umeiacha Ruvu Shooting na alama zake 20 huku wakiwa nafasi ya pili kutoka mkiani.Ruvu Shooting ndiyo ilikuwa ya kwanza...

Shule ya Tanzania yaibuka mshindi wa Soka Afrika

0
Fountain Gate Dodoma kutoka Tanzania ndio mabingwa wa kwanza wa Mashindano ya Afrika ya Mpira wa Miguu kwa Wasichana wa Shule (CAF African Schools Football Championship).Fountain Gate ilikuwa na wakati mwepesi kuisambaratisha Ecole Omar...

Mashindano ya Gofu kwa vijana kufanyika Uganda

0
Timu ya Taifa ya Vijana ya Gofu inaendelea na mazoezi, kujiandaa na mashindano ya Afrika kwa vijana yatayofanyika Kampala, Uganda tarehe 16 hadi 21 mwezi huu.Kocha wa timu hiyo Athuman Chiudu amesema, wachezaji wanafanya...

Mayele: Nilikuwa nawatamani Rivers United

0
Baada ya droo ya Shirikisho la Soka Afrika kuonesha kuwa Yanga SC kutoka Tanzania itakutana na Rivers United FC ya nchini Nigeria, mshambuliaji tegemeo wa Yanga, Fiston Mayele amesema alikuwa anatamani sana wapangwe na...

Simba milioni 50, Yanga milioni 45, fedha za ‘Goli la Mama’

0
Mashindano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) yamemalizika katika hatua ya makundi, huku timu za Simba na Yanga kutoka Tanzania kila moja ikifanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali katika mashindano inayoshiriki.Wakati mashabiki wakifurahia hatua...

Messi kuondoka PSG mwisho wa msimu

0
Klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa itaachana na utatu wa Mbappé, Messi na Neymar msimu ujao, tovuti ya RMC Sport imeripoti.Kwa mujibu wa chanzo hicho, mmoja kati ya miamba hiyo ya soka ataondoka,...

Yanga yavunja mkataba na Nkoma

0
Yanga SC imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa Yanga Princess, Sebastian Nkoma.Taarifa ya mtendaji mkuu wa klabu hiyo imeeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa baada ya makubaliano ya pande zote mbili.Kwa sasa...

Rais Samia aongeza tiketi 5,000 kuiona Stars

0
Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza tiketi alizotoa kwa ajili ya mashabiki kufikia 7,000 kutoka 2,000 za awali.Tiketi hizo zitakazotolewa kwa mashabiki ni sehemu ya hamasa ya Rais kuelekea mchezo wa marudiano kati ya Tanzania...

Ronaldo aweka rekodi nyingine duniani

0
Katika mchezo kati ya Ureno na Liechtenstein, Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyecheza michezo mingi ya timu ya Taifa duniani.Mchezo huo ambao alifunga magoli mawili katika ushindi wa 4-0, ulishuhudia Ronaldo akicheza...