Milioni 10 kila goli Simba na Yanga Afrika

0
Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi milioni 5 hadi shilingi milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa barani...

Simba waishitaki Wydad CAF

0
Simba SC inatarajia kuwasilisha malalamiko yake kwa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) dhidi ya mashabiki wa Wydad AC kuelekea mchezo wao wa marudiano Aprili 28 nchini Morocco.Miamba hiyo ya Tanzania inachukua hatua hiyo kufuatia...

Yanga yakiri Rivers United ni timu ngumu

0
Yanga SC inatarajia kuondoka nchini kesho alfajiri kuelekea Nigeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers United.Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema msafara...

Dkt. Kikwete akutana na mwanariadha Geay

0
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na Wanariadha Gabriel Geay na Wence Tarimo walioshiriki katika Mashindano ya Riadha yaliyofanyika Boston, Marekani tarehe 17 Aprili 2023.Gabriel Geay aliibuka mshindi wa pili katika mashindano hayo....

Simba yarejea kambini kujiwinda na Wydad

0
Klabu ya soka ya Simba inarejea kambini hii leo jioni kujiwinda na mchezo wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya mabingwa watetezi Wydad Casablaca ya Morocco.Afisa habari wa...

Kocha wa Ruvu Shooting FC atozwa faini na kufungiwa

0
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtoza faini ya shilingi milioni 1 Kocha Msaidizi wa Ruvu Shooting FC, Renatus Shija kwa kosa la kukataa kufanya mahojiano na mtangazaji Azam TV, televisheni ya mdhamini mwenye...

Geay kupeperusha bendera ya Tanzania Boston Marathon leo

0
Macho na masikio ya mashabiki wa mbio leo yapo nchini Marekani katika mashindano ya mbio ndefu ya Boston (Boston Marathon) mwaka 2023 ambapo kwa Tanzania inawakilishwa na Gabriel Geay.Geay atakuwa akichuana na wanaridha mahiri...

Mane aachwa kwa madai wa kumpiga Leroy Sane

0
Bayern Munich wamemwacha Sadio Mane nje ya kikosi chao kitakachocheza mchezo wa ligi Jumamosi dhidi ya Hoffenham, huku kukiwa na madai kuwa alimpiga mchezaji mwenzake Leroy Sane.Ripoti kutoka Ujerumani zinadai Mane alimgonga Sane usoni...

Simba: Tumeshinda mechi ngumu, hatuishindwi Yanga

0
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa, timu hiyo hupata ushindi kwenye mechi ngumu zaidi, hivyo haiwezi kushindwa kuifunga Yanga SC.Akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam kuelekea mchezo huo amesema,...

Kocha wa Al-Nassr afukuzwa kisa Ronaldo

0
Kocha wa Al-Nassr ya Saudi Arabia, Rudi Garcia amefukuzwa kazi baada ya kudaiwa kuwepo hali ya kutoelewana kati yake na Cristiano Ronaldo.Imeelezwa kuwa mgogoro kati ya wawili hao umetokana na timu kutokufanya vizuri huku...