Waziri Mkuu akutana na Rais wa CAF
Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmad Ahmad ameelezea kuridhishwa na maandalizi ya michuano ya Afrika ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17.Michuano hiyo ya mpira wa miguu kwa...
Mashindano ya Gofu Afrika kufanyikia Accra
Timu ya Taifa ya mchezo wa gofu imeelekea nchini Ghana kushiriki mashindano ya Afrika kwa mchezo huo huku ikisema kuwa ipo tayari kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania.Akikabidhi bendera ya taifa kwa timu hiyo, Kaimu...
Mbao FC wapanda kileleni mwa Ligi Kuu
Wabishi wa Mwanza, Mbao FC wamepanda kileleni mwa ligi kuu Tanzania Bara baada ya kupata ushindi wa ugegeni wa bao mbili kwa moja dhidi ya Stand United - Chama la Wana ya Shinyanga.Pamoja...
Simba Watoto mabingwa Afcon U-17
Timu ya Uganda ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 imeungana na wenyeji Tanzania katika kufuzu kwa michuano ya vijana itakayotimua vumbi mwezi Mei mwaka 2019.Timu hiyo ya Uganda maarufu kama...
Samatta aendelea kufanya vizuri Genk
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta amefunga mabao matatu - Hat Trick katika mchezo ambao timu yake ya KRC Genk imeibuka na ushindi wa mabao matano kwa mawili dhidi ya...
Yanga yaomba kujitoa kombe la Kagame
Uongozi wa klabu ya Yanga umeliandikia barua shirikisho la soka hapa nchini TFF kuwaomba kujitoa katika mashindano ya Kagame Cup yanayotarajiwa kuanza June 28 mpaka Julai 13 mwaka huu jijini Dar Es Salaam.Msemaji wa...
Mjadala wa ushiriki wa mataifa 48 Qatar mwaka 2022 waondolewa.
Zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya kuanza kwa fainali za kombe la FIFA la dunia, Rais wa shirikisho la vyama vya mpira wa miguu duniani FIFA, Giovanni Infantino ametangaza kuondolewa kwa mjadala wa ushiriki...
FIFA kuchagua nchi itakayoandaa fainali za kombe la FIFA la dunia 2026
Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya kuanza kwa fainali za 21 za kombe la FIFA la dunia hii leo Juni 13 wanachama 211 wa shirikisho la soka duniani -FIFA watapiga kura kuchagua nchi itakayoandaa...
Teknolojia ya VAR kutumika kombe la dunia badala ya vibendera
Waamuzi wasaidizi katika fainali za 21 za kombe la FIFA la dunia wametakiwa kutonyanyua vibendera vyao endapo kutatokea utata wa kutambua kama kuna tukio la kuotea yaani offside na badala yake wasubiri msaada wa...