Walia na sheria ya bao la ugenini
Makocha wa vilabu vikubwa Barani Ulaya wamelitaka Shirikisho la soka barani humo (UEFA) kuangalia uwezekano wa kupitia upya sheria ya bao la ugenini katika mashindano ya bara hilo.Akizungumza baada ya kumalizika kwa mkutano wa...
Sharapova na Federer waondolewa US Open
Nguli wawili wa mchezo wa Tenisi Maria Sharapova na Roger Federer usiku wa kuamkia Septemba Nne mwaka huu wameondoshwa kwenye mashindano ya US Open baada ya kupoteza michezo yao ya hatua ya Kumi na...
Nyota wa Taifa stars wanaocheza nje wawasili nchini
Nyota wanne wa timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa stars) wanaocheza soka nje ya nchi wamewasili nchini na kuanza kufanya mazoezi na wenzao tayari kwa mchezo dhidi ya Uganda utakaochezwa mwishoni mwa...
De Gea kusaini mkataba mpya na Man United
Kipa wa klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza,- David De Gea anatarajia kusaini mkataba mpya na klabu hiyo.Kulingana na mkataba huo mpya, De Gea mwenye umri wa miaka 27 na raia wa...
Venus na Serena Williams kukutana US OPEN
Ikiwa ni miaka Ishirini imepita tangu walipokutana kwa mara ya kwanza katika mchezo wa kuwania taji kubwa la tenisi duniani (Grandslum), wanadada ndugu Venus na Serena Williams watakutana katika hatua ya 16 bora ya...
Wachezaji wa Real Madrid wazoa tuzo
Timu ya Real Madrid ya nchini Hispania ambayo ni mabingwa mara tatu mfululizo wa taji la ligi ya mabingwa Barani Ulaya baada ya kuinyuka Liverpool mabao Matatu kwa Moja katika fainali ya...
Federer afanya kweli
Bingwa mara Tano wa michuano ya wazi ya Tenisi ya Marekani, - Roger Federer wa Uswisi ametinga hatua ya mzunguko wa pili katika michuano hiyo baada ya kupata ushindi wa seti tatu kwa bila...
Mourinho ataka vyombo vya habari kumuheshimu
Meneja wa Manchester United, - Jose Mourinho amevitaka vyombo vya habari vya England kumpa heshima kutokana na mafanikio yake kwenye soka la nchi hiyo.Mourinho ameyasema hayo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari...
Salah aingia kwenye mgogoro na EFA
Nyota wa timu ya Misri na klabu ya Liverpool, -Mohamed Salah ameingia kwenye mgogoro na chama soka nchini Misri (EFA) baada ya chama hicho kupuuza malalamiko yake yanayohusu kukiukwa kwa haki za matangazo.Nyota huyo...
Wawrinka ambwaga Dimitrov
Nyota wa mchezo wa tenisi Stan Wawrinka amembwaga Grigor Dimitrov katika mzunguko wa kwanza wa mashindano ya wazi ya Marekani kwenye uwanja wa Flushing Meadows jijini New York.Hii ni mara ya pili mfululizo ambapo...