West Ham wapata ushindi dhidi ya Everton

0
Wagonga nyundo wa jiji la London, - West Ham United wamepata ushindi wa kwanza kwenye ligi ya England msimu huu, wakiwa chini ya kocha Manuel Pellegrini baada ya kuitandika Everton mabao matatu kwa moja...

Manchester City yasema safari yake haijakamilika

0
Mwenyekiti wa klabu ya Manchester City ya nchini England, - Khaldoon Al Mubarak amesema kuwa safari ya klabu hiyo bado haijakamilika licha ya kutoa taarifa ya mapato ya klabu hiyo yenye faida ya Pauni...

Tiketi za mpambano wa watani wa Jadi kuanza kuuzwa Septemba 20

0
Shirikisho Soka Nchini (TFF) limesema kuwa tiketi za mchezo baina ya watani wa jadi Simba na Yanga utakaopigwa Septemba 30 mwaka huu, zitaanza kuuzwa mapema ambapo kiingilio cha juu kwenye mtanange huo kikiwa ni...

Vettel akiri adui yake ni yeye mwenyewe

0
Dereva wa kampuni ya Ferari,- Sebastian Vettel amesema kuwa adui yake mkubwa katika kinyang’anyiro cha kuwania taji la mbio za langalanga msimu huu baina yake na dereva wa Marcedes, - Lewis Hamilton ni yeye...

Katuni inayomkejeli Serena yazua zogo

0
Umoja wa kitaifa wa waandishi wa habari weusi nchini Marekani umeilaani vikali katuni iliyochapwa na gazeti la Herald Sun la Australia jana Jumatatu, iliyomchora katika namna ya kuchekesha mcheza tennis nyota duniani, Serena Williams,...

Serena atozwa faini Dola 17,000 za Marekani

0
Nyota wa mchezo wa Tennis duniani mkongwe Serena Williams ametakiwa kulipa faini ya dola za Marekani 17,000 sawa na zaidi ya Shilingi milioni 38 kwa makosa mbali mbali aliyoyafanya usiku wa juzi jumamosi Septemba...

Mane,Salah waafrika pekee kikosi cha FIFA

0
Sadio Mane wa Senegal na Mohammed Salah wa Misri ni wachezaji wawili pekee kutoka barani Afrika waliotajwa kwenye orodha ya wachezaji 55 wanaowania nafasi ya nyota 11 watakaounda kikosi bora cha shirikisho la soka...

BONDIA ALIEMPIGA MZUNGU ASEMA BADO ANASAKA MAFANIKIO

0
Bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo alieshinda pambano lake huko nchini Uingereza dhidi ya Bondia, Sam Eggington amesema kiu yake ya mafanikio ndio imnayomfanya afanye vizuri kwenye pambano hilo.Akizungumza na TBC toka jijini Birmingham nchini Uingereza,...

Japan yafuta mchezo wake dhidi ya Chile

0
Japan imefuta mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Chile uliotakiwa kuchezwa Septemba Saba mwaka huu, kufuatia tetemeko la ardhi kukikumba kisiwa cha Hokkaido.Mchezo huo wa kirafiki dhidi ya Chile ulitakuwa kuchezwa kwenye mji wa...

Stars yajiandaa na mchezo wake dhidi ya Uganda

0
Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania, -Taifa Stars imewasili jijini Kampala nchini Uganda tayari kwa mchezo wao wa kufuzu kwa michuano ya Afrika dhidi ya timu ya Taifa ya nchi hiyo utakaochezwa siku...