Vettel ajitapa kushinda

0
Dereva wa kampuni ya Ferari, -Sebastian Vettel amesema kuwa bado ana nafasi ya kushinda taji la mbio za langalanga msimu huu licha ya kuachwa kwa tofauti ya alama hamsini na mpinzani wake mkubwa Lewis...

Ligi kuu Bara kuendelea leo

0
Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi leo Jumatatu kwa michezo Sita kuchezwa katika viwanja tofauti.Vinara wa ligi hiyo Mbao FC wenye alama 14 wanasafiri hadi kwenye dimba la Mabatini pale Mlandizi wilayani Kibaha...

Modric mchezaji bora wa mwaka wa Fifa

0
Kiungo wa kimataifa wa Croatia,-Luca Modric ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Fifa baada ya kuwashinda Cristiano Ronaldo na Mohamed Salah.Nyota huyo anayechezea Real Madrid aliisaidia klabu hiyo kushinda mataji matatu mfululizo...

Bao la Samatta laipa ushindi Genk

0
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Samatta amefunga bao la pili katika ushindi wa mabao mawili kwa bila waliopata timu ya Genk dhidi ya Malmo FC huko nchini Ubelgiji.Leandro Trossad...

City wapoteza kwa Lyon

0
Kampeni ya Manchester City kwenye mashindano ya klabu bingwa barani Ulaya imeingia dosari baada kuanza vibaya kama mabingwa watetezi wa ligi kuu England kwa kupoteza mbele ya Lyon katika uwanja wa Etihad kwa kuchapwa...

Lahyani asimamishwa kuchezesha tenisi

0
Muamuzi wa mchezo wa tenisi Mohamed Lahyani raia wa Sweden amesimamishwa kuchezesha mashindano mawili yajayo ya China Open na Shanghai Masters yatakayofanyika mwezi Oktoba mwaka huu baada ya kupatikana na kosa la kumsaidia mcheza...

Messi afanya kweli

0
Lionel Messi amekua mchezaji wa kwanza kufunga goli la kwanza kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Barani Ulaya msimu huu na pia kuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli matatu kwenye mchezo mmoja yaani Hat...

Ligi Kuu Tanzania Bara yaingia raundi ya Tano

0
Ligi Kuu Tanzania Bara inaingia kwenye raundi yake ya Tano huku timu zingine zikicheza michezo yake ya raundi ya tatu kwenye msimu wa 2018/2019.Kwenye dimba la Taifa jijini Dar es salaam, mabingwa wa kihistoria...

Ligi ya mabingwa Barani Ulaya kutimua vumbi

0
Msimu mpya wa ligi ya mabingwa barani Ulaya unaanza kutimua vumbi usiku wa Septemba 18 kwa kupigwa michezo nane ya makundi Aaa mpaka Dee.Katika michezo inayotazamiwa kuwa na mvuto mkubwa ni pamoja na ule...

Ronaldo na Higuain wamaliza ukame wa magoli

0
Kwenye Seria A nchini Italia, nyota wawili Cristiano Ronaldo na Gonzalo Higuain wamemaliza ukame, baada ya kufunga kwa mara ya kwanza kwenye michezo yao ya ligi tangu kuanza kwa msimu huu.Kwenye dimba la Allianz...