Yanga: Tunalitaka Kombe la ASFC

0
Klabu ya Yanga imesema inalitaka Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na kwamba itaweka nguvu zote kuhakikisha inaibuka na ushindi kwenye mchezo wa nusu fainali.Akizungumza kuelekea mchezo huo, Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze...

Fainali ni Yanga na USM Alger

0
Yanga SC itaikaribisha USM Alger ya Nigeria katika mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ambao utachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, mkoani Dar es Salaam Mei 28 mwaka huu.Juni 3...

JKT Queens mabingwa Ligi ya Wanawake

0
JKT Queens ndio bingwa wa Ligi ya Wanawake Tanzania Bara kwa msimu wa 2022/23 ikiwa na alama 46 katika michezo 18.Mabingwa hao wamemaliza msimu bila kupoteza mchezo hata mmoja wakiwa wameshinda michezo 14 na...

Ni JKT Queens au Simba Queens leo

0
Pazia la Ligi Kuu ya Wanawake Bara (SWPL) linafungwa leo, huku mvuto ukiwa mkubwa zaidi katika siku ya mwisho kwani michezo itakayopigwa leo ndio itakayoamua nani anakuwa bingwa.Dakika 90 zitaamua kama JKT Queens wenye...

Inter Milan yafuzu fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya

0
Inter Milan imefuzu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa jumla wa magoli 3-0 dhidi ya mahasimu wao AC Milan.Kwa ushindi huo, Inter Milan sasa inasubiri mshindi kati ya Manchester City na...

City na Madrid ni mechi ya kisasi na rekodi

0
Kivumbi kesho katika dimba la Etihad jijini Manchester ambapo Manchester City itawakaribisha wababe wa UEFA, Real Madrid katika mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.Katika mchezo wa kwanza timu hizo zilikwenda sare ya...

Mane na Cancelo kuondoka Bayern Munich

0
Sadio Mane na Joao Cancelo wanatarajiwa kuondoka Bayern Munich mwishoni mwa msimu huu, Sky Germany imeeleza.Bayern ina kipengele cha kumnunua Cancelo aliyetokea Manchester City kwa mkopo, lakini imeweka wazi kuwa haiko tayari kulipa TZS...

Kenya, Tanzania na Uganda zaomba kuwa wenyeji AFCON 2027

0
Kenya inatarajia kuungana na Tanzania na Uganda katika mchakato wa kuomba kuwa mwenyeji wa shindano la Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027.Akizungumza leo Ikulu jijini Nairobi, Rais wa Kenya, William Ruto amesema...

Arsenal ndio bas tena

0
Arsenal imepoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England msimu huu baada ya kukubali kipigo cha magoli 3-0 kutoka kwa Brighton & Hove Albion.Kufuatia kipigo hicho, Arsenal sasa inabaki nafasi ya pili...

Serikali yagharamia safari ya mashabiki 55 wa Yanga Afrika Kusini

0
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaidia kugharamia usafiri wa mashabiki 55 wa timu ya Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF).Hayo...