Serikali yajipanga kuisaidia Stars
Katibu Mkuu wa wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali imejipanga kuisaidia timu ya Taifa ya soka (Taifa Stars), kwa kuipatia fedha ili kuongeza ufanisi wa timu hiyo.Dkt. Abbasi...
Simba: Rais Samia ametuongezea hamasa
Simba SC kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii imeeleza kupokea kwa furaha hamasa iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa atatoa TZS milioni 5 kwa kila goli ambalo timu hiyo pamoja na Yanga...
Yanga na ZANACO kukutana dimba la Mkapa
Timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam maarufu timu ya Wananchi, tarehe 29 mwezi huu itaialika timu ya ZANACO FC kutoka Zambia katika mchezo wa kirafiki kwenye dimba la Mkapa mkoani Dar...
Arteta: Jesus ameanza mazoezi mepesi
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amethibitisha kuwa Gabriel Jesus ameanza mazoezi ya nje akisubiriwa kwa hamu kurejea kikosini baada ya kukaa nje kwa takribani miezi mitatu.NINI KILITOKEA? Mshambuliaji huyo raia wa Brazil aliumia goti...
Serena atozwa faini Dola 17,000 za Marekani
Nyota wa mchezo wa Tennis duniani mkongwe Serena Williams ametakiwa kulipa faini ya dola za Marekani 17,000 sawa na zaidi ya Shilingi milioni 38 kwa makosa mbali mbali aliyoyafanya usiku wa juzi jumamosi Septemba...
Yanga SC yatinga fainali ya ASFC
Yanga SC imetinga fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya kuifunga Simba SC katika mchezo wa nusu fainali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.Goli pekee lililoipeleka Yanga fainali limefungwa na...
Matokeo Mechi za Ligi Kuu England
Manchester United wametoka sare ya bao 1 kwa 1 katika dimba la Godson Park dhidi ya Everton wakicheza ugenini katika mchezo wa ligi kuu EnglandGoli la kusawazisha la Manchester United limefungwa na Bruno...
Rekodi ya Simba yavunjwa Misri
Simba SC imeshindwa kutamba mbele ya miamba ya Misri, Al Ahly, baada ya kukubali kipigo cha goli 1-0 katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Goli hilo pekee la...
Mfahamu Rodri, mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or mwaka huu
Rodrigo Hernández Cascante maarufu kwa jina la Rodri ni mchezaji wa timu ya Manchester City ya England na timu ya Taifa ya Hispania na yeye ndie mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka...
Simba wazidi kujikita kileleni
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wameendelea kupata ushindi katika michezo ya ligi kuu baada ya kuwachapa Biashara United ya Mara mabao 3-1 katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Mabao ya Simba yamefungwa na...