Wednesday, October 24, 2018

Stay connected

0FansLike
0FollowersFollow
0FollowersFollow
4,687SubscribersSubscribe

Latest article

TBC UPDATE

Leo Usiku,Oktoba 23,2018,TBC itakuwa inafunga Mfumo Mpya wa KIDIGITI wa kuchakata na kurusha matangazo. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza kufuatia zoezi hili...

Watoto wa familia moja wauawa kikatili Kagera

Miili ya watoto wawili ambao ni ndugu wa familia moja imeokotwa ikiwa imetenganishwa kichwa na kiwiliwili katika shamba la migomba  kwenye kijiji cha Mashule...

SIDO yatakiwa kubuni teknolojia na mitambo rafiki

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo Nchini (SIDO) kujielekeza katika kubuni teknolojia na mitambo rafiki inayolenga kutatua changamoto za wajasiriamali...

China yafungua daraja refu zaidi duniani

Rais Xi Jinping  wa China amefungua daraja refu zaidi duniani lenye urefu wa kilometa 55 linaloyaunganisha maeneo mawili ya Hong Kong na Macau. Sherehe za...