Yanga na Azam, nani kuondoka na alama tatu?
Ni Dar es Salaam Derby leo Jumamosi katika NBC Premier League ambapo Wananchi, Yanga Afrika watakuwa Uwanja wa Azam Complex kama wenyeji wakiwakaribisha Azam FC.Yanga SC wanaingia katika mchezo huu wakiwa nafasi ya kwanza...
Yanga yapigwa faini ya mil 12/- mchezo wa Derby ya Kariakoo
Klabu ya Yanga imetozwa faini ya shilingi milioni 10 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kwa kosa la kupitia mlango usio rasmi kwenye Uwanja wa...
Meneja wa Yanga afungiwa mechi 3 na faini milioni 1
Meneja wa Yanga, Walter Harrison, amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi milioni 1 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa kosa la kuwashurutisha waamuzi...
Rekodi mpya michuano ya EURO 2024
Michuano ya EURO 2024 sasa imefikia hatua ya fainali ambapo Hispania na Uingereza zitakutana Jumapili ijayo Julai 14 kuamua nani anarudi nyumbani na taji.Hizi ni baadhi ya rekodi nyingi zilizowekwa kwenye michuano hiyo hadi...
Yanga bingwa Kombe la Shirikisho la CRDB
Yanga SC wanachukua ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB mbele ya matajiri wa Chamazi 'Azam FC', kwa ushindi wa mikwaju ya penati 6 - 5.Yanga wanachukua kombe la pili ndani ya msimu mmoja...
Yanga wakifanya makosa tutawaadhibu
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum "Fei Toto" amesema wao kama wachezaji wanatambua ubora wa Yanga Afrika, hivyo wataingia uwanjani kwa kuiheshimu huku akiwataka Yanga nao kuwaheshimu Azam FC."Tunawaheshimu sana Yanga SC na wao...
Toni Kroos kutundika daluga
Kiungo wa kati wa Real Madrid na Ujerumani, Toni Kroos ametangaza kutundika daruga baada ya michuano ya Uropa msimu huu.Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 34 ametangaza uamuzi wake wa kustaafu soka kupitia ukurasa...
Man City mabingwa EPL mara ya 4 mfululizo
Klabu ya Manchester City imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa English Premier League (EPL) baada ya kuifunga klabu ya West Ham United magoli 3-1 na kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza kubeba taji hilo mara...
Michezo ni afya na fursa ya ajira
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema michezo ni zaidi ya afya na burudani, ni fursa ya ajira na pia hupunguza magonjwa mwilini.“Kama mnavyofahamu, michezo ni zaidi ya afya na burudani lakini leo tunathibitisha kuwa baada...