Wabunifu Watanzania washauriwa kuhalalisha kazi zao
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza amewataka wabunifu wa Tanzania kuhalalisha kazi zao za mitindo ili kupata furusa mbalimbali zinazopita kwenye wizara kutokana na kujulikana na kutambulika na serekali...
Linnah Sanga – Koleza lyrics
Surprise Wakiongea usijibu
chochote we baki bubu,Uko moyoni hawajui tu,Nafurahi umeleta amani kwenye maisha yangu,Povu liwatoke wakaroge, nitabaki na weChorusPenzi koleza, baby koleza,Hawatuoni, wana makengeza, kengeza x2Inabidi uniamini aee, kukuacha katu, katu,Sijui nini na nini aee,...
Vanesa Mdee azidi kupasua anga la kimataifa.
Mwanamuziki na mwanaharakati wa haki za wanawake, Vanessa Mdee amefanikisha kurusha sehemu ya kwanza ya podcast yake ya ‘Deep Dive with Vanessa Mdee’ leo kwenye application ya Spotify, Google Podcasts na Apple Podcasts App.Mdee...
TUZO za Chris Brown
Ushindi wa Chris Brown katika tuzo kubwa za Marekani za Soul Train Music Awards 2019
TEKNOLOJIA: UINGEREZA YAGUNDUA APP YENYE KUTOA TAARIFA KUHUSU MARADHI YA FIGO.
Wanasayansi nchini UINGEREZA wamegundua teknolojia inayoweza kutoa taarifa kwa daktari ndani ya muda mfupi
kwa mtu mwenye maambukizi ya maradhi ya figo, kupitia App ya simu ya
kiganjani inayojulikana kwa jina la DEEP
MIND ili kusaidia kuongeza...