Lishe duni chanzo cha magonjwa na udumavu
Baadhi ya watafiti wa afya wamebaini uwepo wa magonjwa yanayochangiwa na lishe duni na hivyo kusababisha udumavu wa makuzi kwa wananchi.Hayo yamesemwa na Mjumbe wa Bodi ya Asasi inayojishughulisha na maendeleo ya kilimo cha...
Mambo manne ya kufanya katika Siku ya Kimataifa ya Watu Wazee 2020
HistoriaDesemba 14, 1990, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (kwa azimio la 45/106) liliteua Oktoba Mosi kuwa Siku ya Kimataifa ya Wazee.Hii ilitanguliwa na mipango kama vile mpango wa utekelezaji wa Vienna juu ya...
#TANZANIASAFARICHANNEL: JE WAJUA? MAAJABU YA SIMBA KUPANDA MTI /THE SPECTACULAR TREE CLIMBING LION
BOFYA HAPAhttps://www.youtube.com/watch?v=DnVaSVQAe90
CHAKULA NI DAWA: FAIDA KUU ZA ULAJI WA TANGAWIZI
https://www.youtube.com/watch?v=rcUb57OMbiE
AFYA YA UZAZI: Simu inavyomuathiri mjamzito na mtoto
Matumizi wa simu yamezidi kushika kasi si tu Tanzania bali duniani kwa ujumla. Lakini umewahi kujiuliza ni kwa kiasi gani simu hizi zinaweza kuwa na athari za kiafya kwenye maisha ya watumiaji?Wataalamu wa afya...
Video: Dkt Otieno akielezea tiba asili inavyotibu corona
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu nafasi ya tiba asili katika kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona, ambapo baadhi wamekuwa wakisema ni tiba sahihi na salama huku kundi jingine...
Mambo 5 ya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta
Watu wengi hupata changamoto sana wanapotaka kununua tarakilishi (kompyuta) hasa kutokana na ukweli kuwa hawafahamu vitu vya kuzingatia, na hivyo hujikuta wakiishia kuangalia rangi na muonekano wa nje wa kompyuta.Kuna vitu kadha wa kadha...
Njia 6 za kujikinga na corona eneo la kazi
Hadi Machi 12, 2020 jumla ya visa vya virusi vya corona vilivyoripotiwa duniani kote ni zaidi ya 129,000 ambapo vifo ni 4,749 na watu waliopona wakiwa ni zaidi ya 68,667.Virusi hivi vimezidi kusambaa kwa...
Wanandoa kuongezeka uzito, mitandao ya kijamii vyachangia kuongezeka talaka
Makanisa nchini Zambia yamewasihi wananchi kupunguza kasi ya matendo ambayo yanapelekea ndoa nyingi kuvunjika, ili kuwezesha watoto kupata malezi bora ya wazazi wote.Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na gazeti la serikali ya Zambia, zaidi...