Rais Kagame achanganywa na kipigo cha Arsenal
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais wa Rwanda na shabiki wa timu ya Arsernal, Paul Kagame ameonesha kuchukizwa kwake na kipigo cha timu ya Arsernal katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya England.Katika...
Mikato ya suti za Jokate Mwegelo
Suti ni seti ya nguo zinazojumuisha koti la suti na suruali, mara nyingi huwa ni nguo inayofanana, na iliyovaliwa na shati la vazi iliyochanganywa, tai, na viatu vikali.Leo tunakuletea Mkuu wa Wilaya ya...
Miss Tanzania ashangazwa na uchimbaji wa Madini
Mlimbwende wa Tanzania mwaka 2021 Rose Manfere ameelezwa
kushangazwa na namna shughuli za uchimbaji wa madini zinazofanywa huku
akisifu shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa namna linavyosimamia
rasilimali hizo.Mrembo huyo ambaye ametembelea Banda la wizara ya...
Sanaa ya vifuu vya nazi ni dili
Kifuu cha nazi kinaweza kukuletea mapato mazuri kupitia njia mbalimbali za ubunifu kwa kuongezea ubora na thamani.Ukiachana na faida za mafuta ya nazi ambayo wengi hutumika kama dawa ya magonjwa ya ngozi, upande mwingine...
Hedhi Salama, Afya Salama
Leo Mei 28 ni Siku ya Hedhi Salama Duniani (Menstrual Hygiene Day) ambapo huadhimishwa kwa lengo la kuhimiza umuhimu wa hedhi salama kwa Wasichana/Wanawake.Siku hii ilianzishwa na Shirika lisilo la Kiserikali la Ujerumani (Wash...
Vanessa Mdee aendelea kukipaisha Kiswahili
Msanii na Mrembo kutoka nchini Tanzania, Vanessa Mdee na mchumba wake Rotimi ambaye pia ni msanii kutoka nchini Marekani mwenye asili ya Nigeria, kwa pamoja wameandika kitabu kiitwacho ‘SWAHILI 101...
Nafasi ya ‘diet’ na mazoezi katika kupunguza uzito
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto nchini Tanzania hivi karibuni imeeleza kuwa magonjwa yasiyoambukiza yanasababisha vifo kati ya asilimia 40 hadi 45 ya vifo vyote vinavyotokea hospitalini, ikiwa ni ongezeko...
JINSI YA KUPAMBA MEZA
Meza yako inabadilisha mwonekano wa sebule yako kutegemea na utakavyoipamba kuna muda unaweza kuiacha bila pambo lolote lakini muda ambao unataka nyumba yako iwe pambe na kuvutia kwa kutumia nakshi zifuatazo:MAUA: Unaweza kutumia maua...
Aliyeweka gundi ya mbao kwenye nywele apata msaada
Mwanamke mmoja huko Louisiana nchini Marekani aliyeganda na staili moja ya nywele kwa zaidi ya mwezi sasa baada ya kutumia gundi ya ujenzi apata msaada wa daktari bingwa.Tessica Brown alijizolea umaarufu baada ya kurusha...
Watumishi TBC waitangaza njia ya kupanda Mlima Kilimanjaro
Baadhi ya watumishi wa TBC wamepanda Mlima Kilimanjaro (Hadi kituo cha Mandara) kupitia Njia ya Marangu kwa lengo la kuitangaza njia hiyo ambayo imeshinda tuzo huko nchini China ikiwa njia bora zaidi kupanda kwenye...