Namna rahisi ya kulinda figo yako

0
Daktari bingwa wa figo aeleza kuwa ulinzi wa figo unaweza kufanywa kwa kuzingatia yale ambayo mtu hufanya ili kulinda moyo wake.Dkt. Muhdini Mahmoud ameeleza kuwa chochote ambacho ni hatarishi kwa moyo wako ni hatarishi...

NIMR na Aga Khan kushirikiana katika tafiti

0
Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa magonjwa ya binadamu NIMR kwa kushirkiana na Hospitali ya Aga Khan iliyopo jijini Dar es Salaam zimesaini mkataba wa Makubaliano ya kufanya utafiti juu ya magonjwa mbalimbali ya...

Chachacha za Gucci kuuzwa milioni 1

0
Kwa sasa ulimwengu wa mitindo umepatwa na msisimuko kutoka @gucci kutokana na mojawapo ya miundo yao ya kiatu cha “jelly slippers” maarufu Afrika Mashariki kwa jina la chachacha.Kiatu hiki cha Gucci kinauzwa dola...

Mabinti waaswa kutumia vyema mitandao ya kijamii

0
Wasanii wamekuwa kioo cha jamii kwa muda mrefu na sasa mitandao ya kijamii imeibuka na kuchukua nafasi hiyo kwa kuwa mwalimu na sehemu ya vijana wengi kutafuta ‘role model’.Hayo yamebainishwa jana katika Kongamano la...

Kifafa na Imani za kishirikina

0
Mara kadhaa wagonjwa wa kifafa wamekuwa wakikosa hudumu stahiki kutoka kwa jamii inayowazungukwa kutokana na dhana potofu juu ya ugonjwa huo na kukosekana kwa elimu ya kutosha kuhusu ugonjwa wa kifafa.Kifafa ni maradhi yanayoathiri...

Wasichana wenye miaka 10-24 waongoza kwa kutumia P2

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI imebaini ongezeko la matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba miongoni mwa wasichana hasa wenye umri kati ya miaka 10 - 24.Kamati imeeleza kuwa licha...

Njia 10 za kukuwezesha kupunguza uzito

0
Najua huenda mwaka 2021 lengo lako lilikuwa kupunguza uzito lakini hukufanukiwa, basi tulihamishie lengo hilo mwaka 2022, na hapa tutazileta njia 10 rahisi kukuwezesha kufikia lengo hilo.Kupunguza uzito linaweza kuwa jambo gumu au jepesi...

Mawazo Ya Zawadi Za Krismasi “Boxing Day”

0
Desemba 26 maarufu kama “Boxing Day” unaweza kuwa umesubiri hadi dakika za mwisho kabisa ili kutoa zawadi zilizosalia kwenye orodha yako au labda hukuwa na nafasi ya kuanza kufanya manunuzi hadi sasa.Hakuna haja ya...

Mawazo mbalimbali ya meza ambazo zitapendezesha mwonekano wa TV yako.

0
Mbali na TV kuwa chanzo cha burudani, lakini pia nafasi kubwa katika kupendezesha sebule yako au chumba chako. Hivyo basi, unahitaji meza mzuri ambayo itaongeza nakshi na mwonekano mzuri wa nafasi katika nyumba yako....

Mtoto wa Shah Ruk Khan kizimbani

0
Aryan Khan, mtoto wa muigizi maarufu wa Bollywood Shah Ruk Khan, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya.Aryan mwenye umri wa miaka 23 alikamatwa akiwa kwenye sherehe ambapo polisi...