Ataka kuvunja rekodi kwa kupika saa 97 mfululizo
Huko nchini Nigeria mfanyabiashara wa migahawa na mwandishi wa maudhui ya chakula, Hilda Baci maarufu kama Food by Hilda, ametangaza jaribio lake la kuvunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa mtu mmoja kupika muda...
Gari ghali zaidi duniani
Hii ndio Rolls Royce Boat Tail. Ndilo gari la kifahari zaidi na lenye thamani zaidi duniani.Gari hili huuzwa kwa Dola Milioni 28 za Kimarekani sawa na shilingi Bilioni 65.487 za Kitanzania.Rolls Royce Boat...
Hoteli hii ipo nchi mbili tofauti
Hoteli hii ndogo inayoendeshwa na familia ‘Hotel Arbez Franco-Suisse’, pia inajulikana kama L'Arbézie.Upekee wa hoteli hii ni mahali ilipo ambapo ipo katika mpaka wa kimataifa.Uwepo wa hoteli Arbez Franco-Suisse katika eneo hilo ni matokeo...
Marekani yashinda taji la ‘Miss Universe’
Mrembo R'bonney Gabriel kutoka Marekani Kaskazini ameshinda taji la ulimbwende la ‘Miss Universe’ wa 71 ambapo zaidi ya walimbwende 80 kutoka duniani kote walichuana kuwania taji hilo.Mshindi wa ‘Miss Universe’ R'Bonney Gabriel ana...
Upambaji wa mti Krismasi
Shamrashamra za msimu wa Krismasi na mwaka mpya huambatana na kupambwa kwa maeneo na nyumba kwa mapambo mbalimbali ya Krismasi.Mti Krismasi ni moja ya mapambo pendwa zaidi ya Krismasi ambapo haswa mti wa kijani...
Njia rahisi ya kumaliza akiba yako Desemba
Asilimia kubwa ya watu huanza mwaka mpya na mikakati mikubwa kifedha na wengine kuifanikisha na wengine kuiharibu kwa kuweka mikakati mingi ya kujiwekea akiba na kushindwa kuisimamia.Yapo mambo yanayoweza kukufanya usione kabisa mafanikio...
Balozi Mahmoud Thabit Kombo msibani
Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mahmoud Thabit Kombo
akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi Paul Rupia nyumbani kwa marehemu Oysterbay mkoani Dar es Salaam.Mazishi ya Balozi Paul aliyefariki...
Mtu mpweke zaidi duniani afariki dunia
Mtu wa mwisho aliyebaki kutoka kikundi kimoja cha asili nchini Brazil amefariki dunia, akikadiriwa kuwa na umri wa miaka 60.Habari kutoka nchini Brazil zinaeleza kuwa, mtu huyo mwanaume ambaye jina lake...
Faida za kiafya za kuvaa kipini
Uvaaji kipini ni moja ya urembo unaopendwa sana na wanawake wa jamii mbalimbali.Kwa miaka ya hivi karibuni kipini kimeendelea kuvaliwa sana, huku utoboaji ukifanyika katika maeneo mbalimbali ya pua ili mradi tu...
Ndoa ya Rambo matatani
Mwigizaji wa filamu maarufu ulimwenguni Sylvester Stallone na mkewe Jennifer Flavin wameingia katika mgogoro ambao unaweza kusababisha ndoa yao iliyodumu kwa miaka 25 kuvunjikaFlavin (54) aliwasilisha ombi la kuvunjwa kwa ndoa na kutoka kwa...