Familia zatakiwa kuheshimu haki za watumishi wa ndani

0
Jamii imetakiwa kuwathamini na kuheshimu haki na mikataba ya watumishi wa ndani ili kumaliza mitafaruku inayotokea mara kwa mara ikiwemo unyanyasaji wanaofanyiwa watoto katika familia.Ushauri huo umetolewa na Mwandishi wa kitabu cha Thamani ya...

Bilioni 18 kujenga barabara Mbeya

0
Wananchi Mkoani Mbeya wanatarajia kunufaika na kiasi cha shilingi bilioni 18.2, pesa zilizotengwa kutekeleza miradi mbalimbali ya barabara na madaraja.Mhandisi Florian Kabaka,ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Barabara Vijijini na...

Sitaki askari wabebe mzigo wa kulipa deni : Rais Magufuli

0
Serikali imeahidi kulipa deni la zaidi ya Shilingi Trilioni Moja kama pango la nyumba  linalodaiwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), deni   ambalo limekua likikatwa kwa askari wanaoishi  kwenye nyumba 6,600 zilizojengwa kwa ajili ya Jeshi...

Tani elfu 33 za makaa ya mawe kusafirishwa kwenda India

0
Kwa mara ya kwanza bandari ya Mtwara imepokea meli kubwa ambayo itasafirisha tani elfu 33 za makaa ya mawe kwenda nchini India.Meneja wa bandari ya Mtwara Mhandisi Juma Kijavara amesema...

Shughuli za Mkutano wa 9 wa Bunge

0
Mkutano wa tisa wa Bunge la 12 umeanza leo jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine wabunge watakuwa na kazi ya kupokea na kujadili taarifa za kazi na majukumu ya kamati za kudumu za...

Serikali kuimarisha ukusanyaji wa mapato yasiyo ya kodi

0
Serikali kupitia Msajili wa Hazina imekusudia kuongeza ukusanyaji wa mapato yasiyo ya kodi kutoka shilingi Bilioni 637.64 za hivi sasa hadi kufikia shilingi Trilioni 1.2 mwaka wa fedha wa 2025/2026.Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu...

Asanteni sana TBC

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, amelishukuru Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa maboresho ambayo limeyafanya na hivyo kuwafikia Watanzania wengi zaidi."Nichukue nafasi hii kuwashukuru wote lakini kipekee niwashukuru TBC...

Tulia aweka rekodi uchaguzi wa Spika

0
Mgombea wa nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Tulia Ackson ameweka rekodi baada ya kuchaguliwa kwa asilimia 100 na wabunge wote waliopiga kura leo.Dkt. Tulia ambaye ni...