Mti wa Dkt. Mpango Same

0
Leo ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Upandaji Miti Kitaifa, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amepanda mti wa kumbukumbu katika Shule ya sekondari Same iliyopo mkoani Kilimanjaro ikiwa ni sehemu...

Miradi ya maji inachangia kukuza uchumi

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema serikali inawekeza katika Sekta ya Maji ili kukidhi mahitaji ya wananchi, hatua ambayo ina mchango katika kukuza uchumi.Amesema hayo wakati akifungua Mkutano...

Ataka Mil 150 akidai kudhalilishwa na diwani

0
Diwani wa kata ya Chanika wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, Adballa Chihumpu amefikishwa katika mahakama ya wilaya hiyo akidaiwa kutoa maneno ya udhalilishaji dhidi ya mwekezaji Stanley Liakindi anayetuhumiwa kuchukua eneo la wazi la...

Zanzibar yaanza kutoa vitalu uchimbaji mafuta, gesi

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amewahakikishia wawekezaji wote wa sekta ya mafuta na gesi mazingira mazuri ya uwekezaji kwa manufaa ya wote.Dkt.Mwinyi amesema hayo alipokuwa akizindua duru...

Kiwanda chaunganisha simu elfu 40 Arusha

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametembelea kiwanda cha TANZTECH kilichppo jijini Arusha kinachounganisha vifaa vya kielektroniki kama simu janja, vishikwambi na kompyutaKatika ziara yake Waziri Nape ameupongeza uongozi wa...

Changamoto ya barabara Geita yapata jawabu

0
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANRODS) imekusudia kutekeleza miradi saba ya kimkakati ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami mkoani Geita, baada ya kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina kukamilika.Meneja...

CCM : Tunajivunia uongozi wa Rais Samia

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Emmanuel Nchimbi amesema Watanzania wanajivunia uwezo mkubwa wa kiuongozi aliouonesha Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu ya uongozi wake, ukijidhihirisha kwa namna anavyoiongoza nchi.Akizungumza...

Asali ya Tanzania namba mbili kwa ubora

0
Asali inayozalishwa mkoani Tabora imeshika nafasi ya pili kwa ubora kupitia mashindano ya ubora wa asali inayozalishwa Barani Afrika.Hayo yameelezwa mkoani Dar es Salaam na Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu...

Miaka 71 ya Wakunga, wawakumbuka wagonjwa

0
Watumishi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania leo Machi 19, 2024 wameadhimisha miaka 71 tangu kuazishwa kwa baraza hilo kwa kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi Milioni tano katika Kituo cha Afya...

Kamati yatoa angalizo gharama za umeme

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua utekelezaji wa miradi ya usambazaji umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) mkoani Pwani.Akizungumza mara baada ya ukaguzi huo Mwenyekiti wa...