Makonda: Dhuluma kwenye ardhi inatisha

0
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema katika ziara yake, amebaini kuwepo kwa kiwango kikubwa cha watu kudhulumiwa ardhi nchini, hali inayosababisha migogoro ya ardhi isiyokwisha.Makonda ameyasema...

Atolewa pini kwenye mapafu iliyokaa mwezi mzima

0
Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kumtoa pini kwenye mapafu mtoto mwenye umri wa miaka mitano kwa kutumia kifaa maalum chenye kamera kilichopelekwa moja kwa moja hadi ilipo, kuinasa na kisha kuitoa pini...

Je, wajua?

0
Kwa mujibu wa taratibu za misiba ya viongozi wa kitaifa, bendera iliyotumika kufunika jeneza lenye mwili wa marehemu aliyekuwa rais mstaafu baada ya mazishi hukabidhiwa kwa familia ya marehemu.Halikadhalika, mazishi ya kiongozi ambaye msiba...

Mzee Mwinyi kuzikwa leo

0
Mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi unatarajiwa kuzikwa leo jioni kijijini kwake Mangapwani mkoa wa Kaskazini Unguja.Kabla ya Maziko hayo, Mwili wa...

Wafunga barabara wakishinikiza iwekewe matuta

0
Wananchi wa Kijiji cha Tabu Hoteli kilichopo Kata ya Chigela wilayani Gairo, Mkoa wa Morogoro, wamelazimika kufunga kwa muda barabara kuu ya Morogoro- Dodoma wakishinikiza kuwekwa matuta ya kupunguza kasi katika eneo hilo. Hii...

Makazi ya Nyerere kuwa kituo cha utalii

0
Serikali imedhamiria kuyafanya makazi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yaliyoko Mwitongo, Butiama mkoani Mara kuwa kituo cha utalii.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Kitongoji cha...

TBC yapanda miti Shule ya Msingi Vikunge, Kibaha

0
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa kushirikiana na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) na Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani wamepanda miti zaidi ya 400 katika Shule ya Msingi Vikuge iliyopo Kata ya...

Adaiwa kuiba mtoto ili kuwaridhisha wakwe

0
Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Mariam Renatus (22) kwa tuhuma za kuiba mtoto mwenye umri wa miezi 10 Miracle Ayoub eneo la Gongo la Mboto, Dar es Salaam na kwenda...

Ukarimu wa Watanzania umeokoa maisha yangu

0
Apelo Apeto (32) ni raia wa Togo na ni miongomi mwa watu waliokuwemo katika ajali iliyotokea Februari 25. 2024 katika eneo la Ngaramtoni mkoani Arushana kusababisha vifo vya watu 25 na wengine zaidi ya...

Majeruhi ajali ya Arusha kutibiwa bila malipo

0
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza majeruhi wote wa ajali iliyohusisha magari manne katika eneo la Ngaramtoni mkoani Arusha waliolazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa ya...