Waepuka adha ya kufuata mbali huduma za uzazi

0
Wanawake wa Kijiji cha Kwadoe, Kata ya Mamba wilayani Lushoto mkoani Tanga wameepukana na adha ya kutembea umbali wa km 18 kufuata huduma za afya ya mama na mtoto baada ya serikali kujenga jengo...

Polisi kutoka nchi 14 kufanya mafunzo Tanzania

0
Jeshi la Polisi nchini linatarajia kuwa mwenyeji wa mafunzo ya utayari kwa vitendo (Field Training Exercise) kwa mwaka 2024 yatakayojumuisha nchi 14 wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda wa Mashariki mwa Afrika...

Waathirika wa mafuriko Rufiji wapewa chakula, boti

0
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amefika Wilayani Rufiji, mkoani Pwani kuwafariji waathirika wa mafuriko na amekabidhi tani nne za chakula na boti pamoja na mashine yake ili viwasaidie waathirika hao.Ulega ambaye pia...

Waziri Mkuu awasili Arusha

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Arusha leo Aprili 11, 2024 na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda tayari kwa kushiriki kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri...

Sokoine alikuwa mtumishi mwenye ujasiri

0
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemtaja Waziri Mkuu wa zamani Hayati Edward Sokoine kama mtu aliyekuwa muadilifu na mchapakazi huku akiwataka Watanzania kumuenzi kwa kufanya kazi kwa bidii na kuwaenzi viongozi waadilifu...

Maandalizi kumbukizi ya miaka 40 kifo cha Sokoine

0
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akizungumza na mke mdogo wa Waziri Mkuu wa zamani Hayati Edward Sokoine, Mama Wakiteto Sokoine alipofika nyumbani kwa Hayati Sokoine wilayani Monduli, kukagua maandalizi ya kumbukizi ya...

Tumepoteza kila kitu, hatuna chochote

0
Tatu Kisaburi ni mmoja wa wakazi wa eneo la Kisongo mkoani Arusha, akielezea namna walivyoathiwa na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha mkoani humo usiku wa kuamkia leo Aprili 11, 2024.Amesema kwa sasa hawana...

Walioathiriwa wa mafuriko waendelea kuokolewa

0
Serikali inaendelea na zoezi la kuwaokoa watu walioathiriwa na mafuriko katika Kata za Muhoro na na Chumbi B Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani.Wakizungumza na TBC Digital wakazi wa kata hizo wamesema wameathirika kwa kiasi...

Hali ilivyo Arusha baada ya mafuriko

0
Picha mbalimbali zikionesha hali ilivyo katika eneo la Kisongo mkoani Arusha kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha mkoani humo usiku wa kuamkia leo Aprili 11, 2024.Mafuriko hayo yameleta athari mbalimbali ikiwa ni pamoja...

Biteko amjulia hali mzee Mashishanga

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko, amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na mkuu wa Mkoa mstaafu Mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake Mtaa wa Forest, mkoani Morogoro leo Aprili 11,...