Waajiri watakiwa kuzingatia usalama na afya mahali pa kazi

0
Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA), wametakiwa kuhahakisha wanasimamia usalama na afya sehemu za kazi ili kuimarisha utendaji na afya kwa Wafanyakazi.Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,...

Waajiri watakiwa kuzingatia usalama na afya mahali pa kazi

0
Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA) imetakiwa kuhakikisha inaendelea kusimamia usalama na afya sehemu za kazi ili kuimarisha utendaji na afya kwa WafanyakaziHayo yamesemwa leo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya...

Lissu na wenzake mbaroni

0
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu na wenzake watatu kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali na...

FAO yaahidi kuendeleza sekta za mifugo, uvuvi

0
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesema litaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuendeleza sekta za Mifugo, Uvuvi na Kilimo hususani kuwawezesha Wanawake kushiriki katika shughuli za uzalishaji mali katika sekta...

Mabadiliko ya tabianchi kuathiri zaidi vichanga

0
Wawakilishi kutoka Jumuiya ya Upumuaji ya Ulaya wametoa wito kwa Umoja wa Ulaya (EU) kupunguza viwango vya uchafuzi wa hewa, kwani vilivyopo vinahatarisha maisha ya watoto wachanga, wenye pumu na wenye magonjwa sugu ya...

Uvuvi wa Bahari Kuu kuipatia Tanzania Dola milioni 2.1

0
Tanzania Bara na Zanzibar zinatarajia kukusanya takribani Dola Milioni 2.1 kupitia mauzo ya leseni 45 za uvuvi wa bahari kuu zilizonunuliwa na wawekezaji kutoka China na Hispania.Akizungumza katika hafla ya kusaini mikataba ya mauzo...

Prof. Jay Amtembelea Mzee Kikwete

0
Mwanamuziki nguli nchini, Joseph Haule (Prof. Jay), amemtembelea Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, nyumbani kwake mkoani Dar es Salaam.Kwenye ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Mzee Kikwete ameandika, "Leo nimetembelewa na Profesa...

Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Mtwara

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Mtwara kuanzia Septemba 14 hadi 17 mwaka huu.Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Mkuu wa...

Wafuga Nyuki Duniani Kukutana Tanzania

0
Tanzania imetangazwa mshindi wa nafasi ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Dunia wa Kongresi ya Wafugaji Nyuki (APIMONDIA) ambao huleta pamoja takribani watu 4,000 kutoka sehemu mbalimbali duniani.Uamuzi huo umetangazwa nchini Chile unakofanyika mkutano...

COLLABORATION REMAINS THE GUIDING LIGHT FOR ACHIEVING FOOD SECURITY IN AFRICA

0
The Africa Food Systems Forum 2023 has officially concluded today by Deputy Prime Minister Dr. Doto Biteko , underscoring the critical need to expand existing initiatives in order to expedite the transformation of food...