Mchele kutoka Marekani ni salama

0
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema msaada wa chakula uliotolewa na wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi za Jumuiya ya Kimataifa katika baadhi ya shule za mkoa wa Dodoma ulifuata taratibu...

Hivyo virutubisho kwenye mchele viwekwe hapa huku tunaona – Bashe

0
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametolea ufafanuzi juu ya mjadala ulioibuka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu msaada wa chakula kwa wanafunzi wa Tanzania kutoka Marekani.Bashe amesema kuwa ipo asasi isiyo ya kiserikali (NGO) inayofanya...

Neema yashushwa vijiji vinavyozunguka Ruaha

0
Zaidi shilingi Bilioni mbili zimetolewa kwenye vijiji 16 kati ya 84 vinavyozunguka Hifadhi ya Taifa ya Ruaha ili kubadilisha tabia za kuvamia hifadhi pamoja na kuwafanya wanawake kuacha maisha ya utegemezi na kuwa wazalishaji...

Bil 1.7 kukamilisha jengo la Uhamiaji

0
Serikal imetoa shilingi Bilioni 1.7 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa jengo la ofisi za Uhamiaji mkoani Mtwara.Akizungumza wakati wa zoezi la upandaji miti kuzunguka jengo hilo Kamishna msaidizi wa Uhamiaji mkoa wa Mtwara,...

Sekta ya madini yakusanya maduhuli trilioni 1.9

0
Katiki kipindi cha Machi 2021 hadi Februari 2024, Wizara ya Madini imetekeleza jukumu la ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo ada za mwaka za leseni, ada za ukaguzi, ada za kijiolojia, mrabaha, faini, adhabu...

Anwani za makazi zageuzwa vyuma chakavu

0
Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Kigoma - Ujiji wanadaiwa kung'oa nguzo na vibao vya anwani za makazi na kuviuza kama vyuma chakavu.Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigoma, Mganwa Nzota amesema tayari ofisi yake...

Waziri ataka maboresho ya mawasiliano mpakani

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametembelea kijiji cha Kirongwe kilichopo wilaya ya Rorya mkoani Mara na kukagua huduma za mawasiliano katika eneo hilo.Wakati wa ziara yake Waziri Nape amekagua...

JK ashinda tuzo ya kiongozi bora

0
Rais mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kiongozi bora kwa mwaka 2023 katika Tuzo za Kiongozi Bora wa Afrika kwa Mwaka 2023 kama kiongozi bora wa mwaka katika amani na usalama Barani Afrika.Alizungumza...

Mitatu ya Samia, fedha zaongezeka kwenye mzunguko

0
Machi 19 mwaka huu, Rais Samia Suluhu anatimiza miaka mitatu madarakani, ambapo chini ya uongozi wake kuna viashiria mbalimbali vya kukua kwa uchumi, moja wapo ni fedha zilizopo katika mzunguko.Kwa mujibu wa ripoti ya...

Tathmini ya TAMISEMI chanzo cha panguapangua ya viongozi

0
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema hivi sasa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeanza kufanya tathmini juu ya utendaji kazi wa wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, makatibu...