Machi 2024 Vitambulisho vya NIDA nchi nzima

0
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, amewaeleza wananchi wa Kijiji cha Nanguruwe, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, kuwa hadi ifikapo mwezi Machi 2024, vitambulisho vya Nida vitapatikana nchi nzima.Akijibu moja ya kero na...

HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA KUSINI MTWARA YAZINDULIWA

0
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, ambayo itahudumia wagonjwa wa rufaa kutoka mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma, na nchi jirani kama Msumbiji, Zambia, Malawi, na visiwa vya Comoro.Hospitali...

RAIS SAMIA: KUOKOA MAISHA YA WATU HAKUHITAJI STAREHE

0
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kinachofanyika katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini Mtwara ni kuokoa maisha ya watu jambo ambalo haliihitaji starehe.Amemwelekeza waziri wa afya kutafuta fedha za kununua vifaa kama vishikwambi na...

BANDARI YA MTWARA KUWA KAMA BANDARI YA DAR

0
Akikagua shughuli za uboreshaji wa Bandari ya Mtwara, Rais Samia Suluhu Hassan amesema Mkoa wa Mtwara ni kituo cha biashara kwa Kanda ya Kusini. Amesisitiza kuwa Bandari ya Mtwara haikujengwa kwa ajili ya kujenga...

Maboresho Bandari ya Tanga yakamilika

0
Meneja wa Bandari mkoa wa Tanga Masoud Mrisha amesema maboresho ya bandari yaliokuwa yakifanyika kwa takribani miaka miwili sasa yamekamilika na mkandarasi anatarajia kukabidhi rasmi September 15 mwaka huu.Mrisha ametoa kauli hiyo wakati wa...

Ummy: Watumishi wa Afya wanapaswa kulipwa stahiki zao kwa wakati

0
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Francis Michael, kuwahimiza Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa huo kuwalipa watumishi wa Afya stahiki zao kwa wakati.Waziri Ummy ameyasema hayo wakati akiongea...

TBC na UNCDF kutoa elimu ya nishati mbadala

0
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mitaji ya Maendeleo (UNCDF) kupitia mradi wa Cookfund yanalenga kushirikiana kuelemisha jamii kuhusu matumizi ya nishati mbadala ili kuendana na mabadiliko ya...

Puuzeni uzushi kuhusu Msomera

0
Mkuu wa wilaya ya Handeni, Albert Msando amesema wakazi wa Kijiji cha Msomera hawana tatizo lolote na serikali wala wizara ya mifugo na uvuvi, hivyo kuiomba jamii kupuuza yanayosemwa na baadhi ya watu wasioitakia...

Mavunde atangaza vita na watorosha madini

0
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema kuwa ataweka mkazo mkubwa katika kudhibiti vitendo vya utoroshaji madini, ikiwa ni moja ya mikakati yake ya kukuza sekta hiyo, ili kuhakikisha kuwa rasilimali hiyo muhimu inauzwa katika...

The U.S. Ambassador applauds Dr. Biteko’s appointment.

0
Dr. Biteko promises cooperation with International Energy Sector Organizations.Deputy Prime Minister and Minister of Energy, Dr. Doto Biteko, held a meeting and discussions with the U.S. Ambassador to Tanzania, Dr. Michael Battle, during his...