Dkt. Biteko asisitiza upendo na umoja kwa Watanzania

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewasisitiza wananchi kushikamana kuwa na umoja pamoja na upendo ili kuweza kuleta maendeleo ya pamoja kwenye jamii na kuacha kufanyiana chuki na kugawanyika kutokana...

Mavunde: Tutafanya utafiti wa madini nchi nzima

0
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Rais Samia Suluhu Hassan amewapa maelekezo wizara hiyo kufanya utafiti wa madini nchi nzima ili kupata taarifa sahihi za upatikanaji wa rasilimali za madini kwa maeneo husika hapa...

TRILIONI 1 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MIJI

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa, ameshuhudia utiaji saini mkataba wa utekelezaji wa mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji ya Tanzania (TACTIC), mradi...

KATIBU MKUU FUATILIA MTANDAO WA WEZI FEDHA ZA MIRADI

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amemuagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kufuatilia mtandao wa wizi wa fedha za miradi.Mchengerwa ametoa agizo hilo wakati...

MASHIMO BARABARANI KUGHARIMU NAFASI ZA MABOSI TARURA

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwaamewataka watendaji wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kuacha utaratibu wa kuchimba barabara na kuziacha na...

Msigwa Katibu Mkuu wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

0
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.Kabla ya uteuzi huo Msigwa alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali.Nafasi iliyoachwa...

Mkurugenzi Busega asimamishwa kazi

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega mkoani Simiyu, Veronica Vicent Sayore, kuanzia leo 22 Septemba, 2023 ili kupisha...

Mfumo mpya wa manunuzi serikalini kudhibiti rushwa

0
Mfumo wa kielektroniki unaowezesha kufanya usajili, kuchakata zabuni, kusimamia mikataba, malipo na kununua kupitia katalogi na minada kimtandao (NeST) uliotengenezwa na Watanzania unatarajiwa kudhibiti vitendo vya rushwa ambavyo vimekuwa vikilalamikiwa kughubika michakato wa ununuzi...

Polisi Tanga yawanasa watuhumiwa wa wizi

0
Jeshi la polisi mkoani Tanga linawashikilia raia wawili kutoka Kenya kwa tuhuma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwaibia watu wanaopaki magari nje ya benki na wanaopaki magari nje ya ofisi.Kamanda wa polisi wa mkoa...

Wanahabari watakiwa kuepuka upotoshaji

0
Mkuu wa wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Erasto Sima amewashauri waandishi wa habari kuzingatia misingi ya kiuandishi na weledi katika kuhabarisha jamii juu ya miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali. Sima ameyasema hayo mkoani...