MWANAMUZIKI ZAHARA AFARIKI DUNIA

0
Mwanamuziki mkongwe kutoka Afrika Kusini, Bulelwa Mkutukana maarufu Zahara, mshindi wa tuzo mbalimbali amefariki dunia Jumatatu usiku alipokuwa akipatiwa matibabu katika hospitali jijini Johannesburg.Mwanamuziki huyo aliyetamba kwa vibao mbalimbali ikiwa ni pamoja na 'Loliwe'...

RAIS SAMIA AMCHANGIA PROF. JAY MILIONI 97

0
Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeahidi kuchangia shilingi milioni 97 katika Taasisi ya Profesa Jay yenye lengo la kuisaidia jamii katika matibabu ya ugonjwa wa figo.Hayo hamebainishwa na Naibu Waziri wa...

Dkt. Samia ni muumini wa maridhiano nchini

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni muumini namba moja wa maridhiano nchini na haishii tu katika kusema, bali anatekeleza kwa vitendo huku nia ikiwa...

Wadau waendelea kutoa msaada Hanang

0
Wakati Serikali ikiendelea kutoa huduma mbalimbali za kiutu kwa waathirika wa Maporomoko ya Udongo yaliyotokea wilayani Hanang mkoani Manyara, wadau mbalimbali nao wanajitokeza zaidi kutoa faraja na kurejesha tabasamu kwa familia, ndugu na jamaa...

Anayejifungua mtoto njiti kuongezewa siku za mapumziko

0
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE), kimesaini mkataba wa hali bora na watumishi wake unaolenga kuboresha maslahi yao katika maeneo mbalimbali.Akizungumza baada ya kusainiwa kwa mkataba huo, Katibu Mkuu wa TUGHE...

Wadau waendelea kutoa misaada Katesh

0
Misaada mbalimbali imezidi kutolewa kwa waathirika wa janga la maporomoko ya tope na mafuriko yaliyotokea wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara na kusababisha vifo vya watu, majeruhi na uharibifu wa mali.Katika kuunga mkono kuwafariji wananchi...

RAIS SAMIA AWATEMBELEA MAJERUHI WA MAFURIKO

0
Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewajulia hali majeruhi waliolazwa katika Hospitali ya Tumaini wilayani Hanang kwa kuwapa pole pamoja na kuwatakia afya njema.Rais Dkt. Samia ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen...

Vifo vyafikia 76 Hanang

0
Idadi ya waliofariki katika mafuriko yaliyotokea Katesh, Wilaya ya Hanang mkoani Manyara imeongezeka kufikia 76 ambapo jumla ya majeruhi ni 117, huku baadhi wakiwa wameruhusiwa kutoka hospitali na kaya zilizoathiriwa ni 1,150.Taarifa hiyo imetolewa...

SAFARINI KUELEKEA KATESH

0
Rais Samia Suluhu Hassan alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro Desemba 7, 2023, akiwa safarini kuelekea Katesh wilayani Hanang mkoa wa Manyara kulipotokea maafa ya mafuriko.

WATOTO 3 WASIKIA KWA MARA YA KWANZA TANGU WAZALIWE

0
Watoto watatu waliozaliwa na changamoto ya kutokusikia, leo kwa mara ya kwanza wameanza kusikia sauti baada ya kufanyiwa upandikizaji wa kuwekewa vifaa vya kusaidia kusikia ikiwa ni mwezi mmoja baada ya upasuaji huo unaofanywa...