Lishe bora mwarobaini wa matatizo ya afya

0
Mikoa 15 nchini Tanzania ikiwemo inayozalisha kiwango kikubwa cha chakula kama vile Kagera, Njombe, Mbeya na Iringa imebainika kuwa na kiwango kikubwa cha udumavu na utapiamlo, tatizo linalotokana na ukosefu wa baadhi ya virutubisho...

Nkasi kumegewa hekta elfu 10 za hifadhi ya msitu wa Loasi

0
Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wanatarajiwa kumegewa hekta 10,828 kutoka katika msitu wa hifadhi wa Loasi, kwa ajili ya shughuli za kilimo, ufugaji na makazi.Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,...

Watumishi sita wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu – HESLB...

0
Wakurugenzi watano na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Hesabu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu – HESLB wameachishwa kazi baada ya kubainika kuhusika na makosa mbalimbali ikiwemo kushindwa kutekeleza majukumu...

Rais Magufuli ashiriki ibada maalum kumuombea Baba wa Taifa

0
Rais John Magufuli na mke wake Mama Janeth Magufuli wameungana na waumini wengine katika Ibada maalum ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Ibada hiyo imefanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay...

Siku ya kwanza ya kuaga mwili wa Dkt Magufuli yakamilika

0
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli tayari umetolewa katika uwanja wa Uhuru mkoani Dar es salaam na kupelekwa hospitali ya Lugalo, baada ya kukamilika kwa...

TFS yatakiwa kuweka miundombinu rafiki kwa walemavu

0
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, wenye Ulemavu Stellah Ikupa ameitaka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Wamiliki wa Mahoteli kuweka mazingira bora kwa ajili ya Walemavu.Ikupa ameyasema hayo wakati anazungumza...

(ATCL):Air Tanzania yazindua Safari za Ndege zake kwenda Afrika Kusini

0
Shirika la ndege tanzania atcl limezindua rasmi safari za ndege kutoka dar es ealam kwenda Afrika kusini Johansburg, ndege aina ya air bus 220 ndio itatumika zaidi katika safari hizi.Akizungumza na waandishi wa habari...

Wajasiriamali waanza kupata vitambulisho

0
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka amewahakikishia wajasiriamali wadogo kupata vitambulisho vilivyotolewa na Rais John Magufuli na kuwataka wakuu wa wilaya na maafisa biashara kusimamia zoezi la ugawaji huku akionya dhidi ya udanganyifu wowote. Mtaka amesema...

Rais Samia : Nitasisimama imara katika mapambano dhidi ya rushwa

0
Rais Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kuandaa mifumo na mikakati mipya ya kupambana na vitendo vya rushwa.Rais Samia ametoa agizo hilo Ikulu Chamwino mkoani Dodoma,...

RC Shigella atoa Siku 30 kukamilika kwa mradi wa maji

0
Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella, ametoa siku 30 kwa watendaji wa mamlaka za maji mkoa wa Tanga kukamilisha zoezi la upatikanaji wa maji katika mradi wa maji Safi kwenye kijiji ...