Mpango aagiza bustani za kijani kulindwa

0
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ameagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na mamlaka za miji, halmashauri na majiji kuchukua hatua za makusudi kulinda maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya...

Ngorongoro tumesikia kilio chenu

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imesikia kilo cha Wananchi wa Ngorongoro mkoani Arusha kwa kuboresha matangazo ya redio ya TBC Taifa na Bongo FM."Tungetamani sana kuwa na...

Pengo amtembelea Makonda ofisini kwake

0
Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Kardinali Polycarp Pengo, Leo Aprili 15, 2024 amefika ofisini kwa mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa lengo la Kuzungumza naye na...

Bongo FM ni ya vijana wa Ngorongoro

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amewaambia wakazi wa Ngorongoro mkoani Arusha kuwa redio ya Bongo FM ipo kwa ajili ya vijana na mahitaji yao."Pia tunazindua kituo kwa ajili ya...

Asanteni sana TBC

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, amelishukuru Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa maboresho ambayo limeyafanya na hivyo kuwafikia Watanzania wengi zaidi."Nichukue nafasi hii kuwashukuru wote lakini kipekee niwashukuru TBC...

Kusainiwa hati ya makabidhiano

0
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Aisha Dachi na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawssiliano kwa Wote (UCSAF), Justina Mashiba, wakisaini hati za makabidhiano za mradi wa usikivu wa kurushia matangazo...

Biteko akiwasili

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko alipokuwa akiwasili kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi wa usikivu wa kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM wa Shirika la Utangazaji Tanzania...

Tunasomana🔥🔥🔥

0
Ngorongoro, Makete, Kyela, Uvinza na Mbinga.Code zetu ndio hiziUzinduzi wa kituo cha kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM 🔥

Ngorongoro tumewafikia

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Aisha Dachi na Mwenyekiti wa Badi ya TBC Stephen Kagaigai wakiwa katika uzinduzi wa kituo...