Adaiwa kuiba mtoto ili kuwaridhisha wakwe

0
Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Mariam Renatus (22) kwa tuhuma za kuiba mtoto mwenye umri wa miezi 10 Miracle Ayoub eneo la Gongo la Mboto, Dar es Salaam na kwenda...

Ukarimu wa Watanzania umeokoa maisha yangu

0
Apelo Apeto (32) ni raia wa Togo na ni miongomi mwa watu waliokuwemo katika ajali iliyotokea Februari 25. 2024 katika eneo la Ngaramtoni mkoani Arushana kusababisha vifo vya watu 25 na wengine zaidi ya...

Majeruhi ajali ya Arusha kutibiwa bila malipo

0
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza majeruhi wote wa ajali iliyohusisha magari manne katika eneo la Ngaramtoni mkoani Arusha waliolazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa ya...

Ajali Arusha yaua raia wa mataifa 7

0
Miongoni mwa watu waliofariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Februari 24, 2024 mkoani Arusha wana uraia wa Mataifa ya Marekani, Afrika Kusini, Nigeria, Togo, Bukinafaso, Madagasca na Kenya.Katika ajali hiyo iliyotokea barabara ya...

Rais Samia aomboleza waliofariki kwenye ajali

0
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao katika ajali ya gari iliyotokea mkoani Arusha na kusababisha vifo vya watu 25.Kupitia ukurasa wake wa Instagram pamoja...

Mkandarasi Kiwanja cha Ndege Songea kukosa kazi

0
Naibu Waziri ametoa uamuzi huo kutokana na mkandarasi huyo kushindwa kukamilisha jengo hilo kwa wakati. Kihenzile ametembelea na kukagua maboresho makubwa yaliyofanywa katika kiwanja hicho.“Serikali imewekeza shilingi bilioni 37 katika uwanja huu wa ndege,...

Mkandarasi barabara ya Mikumi-Ifakara akalia kuti kavu

0
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/S Reynolds Construction Company kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mikumi-Kidatu-Ifakara, sehemu ya Kidatu-Ifakara ( Km 66.9) kwa kiwango cha lami pamoja...

Mjane wa Bilionea Msuya aachiwa huru

0
Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imemwachia huru Miriam Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Bilionea Erasto Msuya na mwenzake Revocatus Everist Muyella.Wawili hao wameachiwa huru baada ya upande...

Tanzania, Burundi zakubaliana biashara mkongo wa mawasiliano

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye, pamoja na viongozi na wadau wa mawasiliano, wameshuhudia utiaji saini mkataba wa makubaliano ya kibiashara kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)...

Likizo za watumishi Tanesco zafutwa hadi kieleweke

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko, amesitisha likizo kwa watumishi wote wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) hadi hapo hali ya upatikanaji wa nishati ya umeme itakapoimarika.Dkt. Biteko amechukua hatua...