Nimeibeba ajenda ya Nishati Safi ya kupikia hapa nchini”

0
'Nimeibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia hapa nchini'Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanhttps://www.instagram.com/reel/C4SyoyJODs-/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==

Serikali yaibwaga mahakamani kampuni ya kimataifa

0
Serikali imeibuka kidedea kwenye kesi iliyokuwa ikiendeshwa katika Baraza la Kimataifa la Biashara (International Chamber of Commerce-ICC) dhidi ya Kampuni ya Alchemist Energy Trading DMCC kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu.Uamuzi wa kuipa Tanzania...

Ijue Siku ya Wanawake Duniani

0
Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani (IWD) ni sikukuu ambayo nchi nyingi zimekuwa zikiiadhimisha kila mwaka ifikapo Machi 8 na sasa maadhimisho haya yamedumu kwa zaidi ya karne moja.Kila mwaka, maadhimisho huwa na mada...

Sababu tahasusi kuongezeka kutoka 18 hadi 71 zaelezwa

0
Kufuatia maboresho ya sera ya elimu na mabadiliko ya mitaala, kutakuwa na ongezeko la tahasusi kutoka 18 za sasa hadi 71 kwa wanafunzi wanaohitimu masomo ya sekondari.Akitoa mada kwenye kikao cha mazungumzo baina ya...

Wanawake TPA wasaidia watoto na wagonjwa

0
Watumishi Wanawake wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kutoka vituo vya makao makuu na Bandari ya Dar es Salaam wametoa msaada wenye thamani ya shilingi Milioni 60 kwa kituo cha kulea watoto...

Maboresho Ruvu Chini mbioni kukamilika

0
Kazi ya kuondoa tope kwenye mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Chini lililosababisha kupungua uzalishaji kwa asilimia 20 iko mbioni kukamilika.Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es...

Dorothy Semu amrithi Zitto ACT

0
Chama cha ACT - Wazalendo kimemchagua Dorothy Semu kuwa kiongozi wa chama hicho akimrithi Zitto Kabwe ambaye muda wake umemalizika.Dorothy amechaguliwa katika mkutano mkuu wa ACT - Wazalendo uliofanyika mkoani Dar es Salaam Machi...

Wanawake waongoza kwa maambukizi ya Ukimwi – Utafiti

0
Utafiti wa athari za Virusi vya Ukimwi kwa mwaka (Tanzania HIV Impact Survey 2022-2023), umeonesha kwamba Tanzania inarekodi maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi takribani 60,000 kwa watu wenye umri wa miaka 15 na...

Jitokezeni maeneo yenu ya ardhi yatambuliwe

0
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amewataka wananchi wa Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara kujitokeza kwa wingi kuomba maeneo yao ya ardhi yatambuliwe.‘’Naomba mwendelee kujitokeza kwa wingi ili maeneo...

Bei ya petroli yapanda

0
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya elekezi za mafuta ya petroli, dizeli na taa zitakazoanza kutumika leo Jumatano, Machi 6, 2024.Bei za mafuta ya petroli na dizeli...